Q-Chilla amesema hivi karibuni alienda kukutana na uongozi wa Clouds Media Group kuuomba radhi na kumaliza tofauti zao.
Amesema aliamua kuchukua uamuzi huo kuwa amegundua kuwa kuna wadau wengi aliokuwa amekosana nao kutokana na tabia yake na hivyo angependa kufanya muziki bila kuwa na tofauti na watu.
“Nashukuru Mungu nimeweza kukutana na Ruge Mutahaba, uongozi mzima wa Clouds FM, Joseph Kusaga kukaa chini na kuomba radhi na wao kunikubalia kwa mapenzi yao kwamba ‘huna mchawi, mchawi ni wewe mwenyewe. Ukikaa na sisi meza moja vizuri na kuelewa wapi umekosea unataka kufanya nini sisi tuna nafasi yako kila siku’. Kwahiyo nimeona wakati mwingine naweza nikalaumu watu lakini pia nijiangalie mimi kabla ya kumlamu mtu,” ameiambia Bongo5.
Q-Chilla ameongeza kuwa mashabiki wake wategemee muziki mzuri.
daahg!...yani mziki wabongo kaushika ruge!..bila kuwapigia goti clouds hata uwe nakipaji kiasi gani ni buree!
ReplyDeleteWhat the fuck?... we c uliwahi kusema Diamond kakuroga?... wanamuziki wa bongo shida tupu!... nijuavyo Chillah uko talented kuliko unavyojifikiria. I don't really know what has happened. You are the best vocalist ever!... halafu hao Clouds msiwaabudu kama Miungu...
ReplyDeleteumeona ee wanajiona mungu watu clouds fm. shame on u kumfanya ngwea kuwa punda,
Deletekalogwa na chief kiumbe sio diamond.
ReplyDeleteClouds nao wanaroho mbayaaaa
ReplyDeleteHao clouds wanaroho mbaya ila walishindwa kumloga jide kumamayo za jide ye bado anapeta pamoja na misukosuko yote walio mpa mbwa nyie ruge plus kukoboa
ReplyDelete