Heshima hiyo kwa Rais Kikwete imetolewa na jarida maarufu la kimataifa la African Leadership Magazine Group na Tuzo la heshima hiyo itatolewa jioni ya leo, Jumatano, Aprili 9, 2014, katika sherehe iliyopangwa kufanyika Hoteli ya St. Regis mjini Washington, D.C ikiwa ni pamoja na chakula cha jioni.
Tuzo hiyo ya heshima kubwa hutolewa kwa viongozi wa Afrika ambao hutoa mchango mkubwa zaidi wa kiuchumi na kijamii kila mwaka kwa watu wao na limetolewa kwa Rais Kikwete kwa mwelekeo wake usiokuwa wa kawaida na wenye mafanikio makubwa kwa masuala ya utawala bora.
Source: East Africa Radio
hongera sana kip it up man
ReplyDeleteHakuna ubishi
ReplyDeleteHakuna ubishi
ReplyDeleteHakuna ubishi
ReplyDeleteMoja inatosha george
DeleteUkweli kwamba mm binafsi sijaona alichokifanya huyu mzee, kabisa 100%
ReplyDeleteKama hujaona maana yake huna macho, kalale
Deletekwa uongozi bora upi?
ReplyDeleteNashanga loading...............
DeletePeanini sifa tu...hakunaga alichokifanya......
ReplyDeleteHakuna kiongozi aliyekuwa anapendwa na 'wakubwa' kama Mobutu.
ReplyDeleteUkiwa kiongozi bwege halafu nchi ina
rasilimali lukuki (gas etc) wazungu watakupenda, watakusifu,
watakulambalamba, watakubea mgongoni mpaka utashangaa mwenyewe!
Lazima kiukwel wampake mafuta kwa chupa ya mgongo sasa huyu jaman kafanya nin cha zaid!duh wazungu kwel ninoma hapa macho yao na masikio wametega mtwaraaa kuma kibuyu waje wachimbe wakajenge kwao!
Deletekachangia kiasi kikubwa uchumi wao. sio wetu watanzania. so tuzo lazima wampe
ReplyDeleteJamani mbona mnatia aibu sana, ss anapewa tuzo kwa kuwauzia mali za tz kwa bei rahisi au ? Sijaona kabisa alichofanya hapa kwetu kwetu zaidi ya kutufilisi
ReplyDeleteBora mdau katika wote waliopita jamani huyu haaaa tizameni nchi iliposasa majanga mwanzo mwisho.hao wazungu sindio wateja wake huonikutwa anaenda huko kuuza rasilimali za nchi.wanaomfurahia niwachache walionufaika na ufisadi ILA wengine wengi tu tunatamani mwaka uishe mdawake upite
DeleteUongozi bora wa biashara ya pembe za ndovu.... nchi inauza hadi wanyama (twiga-qatar).... huku tukiwa na bahari na maziwa makubwa tz ya JK imekuwa ikinunua samaki wabovu kutoka china... Mpenda safari hadi maziko ya W. Houston kaenda kwa gharama za walipa kodi....
ReplyDeleteMadokta kutolewa meno, viongozi wa dini kumwagiwa tindikali... mabomu misikitini na makanisani..... Ajali za kizembe za meli hadi zikaundiwa tume ambapo hadi leo hatima yake majibu hayajapatina...... Nchi imejaa wauza sembe na wote ni vibaraka wa vigogo serekalini..
Ni jambo la kawaida 'NABII HAKUBALIKI KWAO', hivyo hatuwashangai wote mnaomponda JK!!
ReplyDeleteJK woyeeeeeeeeee............itikieni......... woyeeeeeeeeeeeeee, JK jhuuuuuuuuuu ...itikieni....ndio, jhuuuuuu, jhuuuuuuuu, jhuuuuuuu zaidi!! MWENYE WIVU AJINYONGE..
Hapondwi wewe tunasema ukweli wewe utakuwa miongoni mwa wale waliofaidika nae mafisadi papa.watuwahali yachini niwengi kuliko nyie mafisadi papa mnatizama ulaji wenu tu namatumbo yenu
DeleteWoyeeeeeeeeeee
ReplyDeleteNi kweli cku zote nabii hakubaliki kwaoo hongera waukaee..
ReplyDeleteMmmmh kwa mali tulizo nazo na ukilaza alionao na sembe zake lazima awe kiongoz bora, chichi embu oyeeee kiwete juuuuuu
ReplyDeleteWatu wengne mazuzu bwana'eti jk oyeeee...unatombwa nini? Unatuletea taarabu. Msiban! Watu wanajadili maendeleo wewe jk oyee'kwenda huko na jk wako zuzu
ReplyDeleteru u kiddin me? r those guyz serious!!
ReplyDelete