MSANII maarufu wa sinema za Kibongo, Rose Ndauka amesema kuwa watu wasiwe na wasiwasi kwani kwa mipango ya Mungu atafunga ndoa na mzazi mwenzake Maliki Bandawe hivi karibuni.
“Si muda mrefu mambo yatakuwa mazuri tulikuwa tunaendelea kujuana, nadhani sasa tunafahamiana vizuri hivyo watu wasiwe na shaka, tutafunga ndoa soon,” alisema.
Rose ambaye hivi karibuni alihamasisha zoezi la usafi na kuungwa mkono na wasanii mbalimbali akiwamo Meya wa Ilala Jerry Slaa, alisema watu wasihofu kuhusu ndoa hiyo kwani ipo njiani.
“Hatujui labda kuchelewa kwetu kuna kitu Mungu amekiepusha, siku zote haraka haraka haina Baraka,” alisisitiza Ndauka ambaye amepanga kutembea Tanzania nzima kuwahamasisha wananchi kuzingatia usafi.
hongera,
ReplyDeletekwan lzm ututangazie si ufunge tukupongeze siyo soon ulikuwa wap kabla mpaka umezaa unaona ijitangazie jipange wenye ndoa atujitangazagi utaona kadi tu hahahahaha
ReplyDeleteMama jipange sawa sawa usije ukaishia kuzalishwa tu, maana ukishazaa huyo bwana ana hiyali akuoe au atunze mtoto, ndo mana wengi husubili ndoa kwanza ndo mambo mengine ya fate
ReplyDeleteHana jipya huyo anajiuza, alienda bukoba akatombwa na kicheche wa mji wa bukoba Rahimu kabyemera.
ReplyDeletehatujakuuliza alikazwa na nani, kwamba unamjua saaaana, shiiiiiiiiiiiiiit
ReplyDelete