SAMWELI ETOO "SAMAHANI KUNA YOYOTE ANAYETAKA KUWA NYANI KAMA MIMI"

Unaambiwa club ya Villareal imemfungia maisha yule shabiki ambae alionyesha kitendo cha kibaguzi kwa kumrushia ndizi Dani Alves, kitendo ambacho kilitafsiriwa kwa Alves kufananishwa na nyani.
Wachezaji kadhaa wamemsupport kwa ujasiri wake wa haraka na kula ndizi hiyo aliyotupiwa uwanjani alafu akaendelea na game kama kawaida ambapo miongoni mwa waliomsupport ni Neymar.
Mwingine alieonyesha support ni Samuel Eto’o ambae baada ya kuweka picha zake mbili akiwa kwenye magari yake ya kifahari na kuandika ‘samahani nilisahau kuuliza, kuna yeyote anataka kuwa nyani kama mimi?’


Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wazungu wanatudharau sana waafrica nashangaa wadada wanawapapatikia!!!!

    ReplyDelete
  2. wazungu wa spain njaa tu hawana lolote, wanawaonea gele hao wachezaji wa kiafrica kwa sababu ni matajiri

    ReplyDelete
  3. fifa hawako serious kwa kiac kikubwa.......haya mambo yako muda mrefu lkn adhabu zake haziendani makosa ya kibaguzi.......nimefurahia hatua ya NBA dhidi ya yule mjinga......lkn unaweza kuona pia jinc ambavyo barca waliwa treat akina etoo na Yaya........kuwaacha jamaa wakiwa ktk viwango........etoo anaondoka akiwa top scorer.......inasemwa kuwa ni mbinu chafu Za Guardiola na inasemwa ni mbaguzi.......kiac Nimrfurahi alivyotwangwa na ramoc na cr7......... BIG UP NBA.......

    ReplyDelete
  4. Sio wazungu wote, waspain wana njaa kweli, tena wanashida hao uchumi wao umeanguka, wanawaonea greee tu hawa wafrica kwa kuwa ni matajili wanalipwa vizuri, wenyewe dhiki zimewajaaa hao mpaka kwenye miku.. yao

    ReplyDelete
  5. Mimi nafurahi sana kwa kitendo alichokifanya Dan alves na Samuel Etoo wameonesha kuwa jasiri na kutojali upuuzi na kumaanisha kuwa wanfurahi kuwa weusi.

    ReplyDelete
  6. inakera kwani wenyewe hawana iman ya kuabudu na kugundua kuwa aliyeumba Mungu na si wao?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad