SERIKALI IZUIE WATU KUJA JIJI LA DAR-TUMETOSHA SASA

Nafikiri wakati umefika sasa kwa Serikali ianze kuzuia watu kutoka Mikoani kuja Dar, tumetosha sasa! ikiwezekana Waruhusiwe wale tu ambao wamepata kazi au walioitwa kwenye usahili... Hali inatisha sana ukienda Ubungo Mabasi yanakuja yamejaa na yanaondoka tupu, kwa nini hamkai huko Mikoani mbona mnatutambia kuna kuna Hali ya Hewa nzuri, sasa ni nini kinawaleta Dar?

Post a Comment

23 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wacha upimbi ww mwenyewe umetoroka kwenu sitimbi , umekuja na gari la mkaa hujarudi tena mpaka leo. Basi kukaa kidgogo na kula xmass mbili ushajiona mwenye JIJI... matako wewe.

    ReplyDelete
  2. admin mwenyewe wa mkoani

    ReplyDelete
  3. We acha ujinga, we hapo cha maana kinachokuweka bongo dsm ni nini? Kwani unadhani wengine wanakuja zurura tu? Mburula ww

    ReplyDelete
  4. Acha ujinga nenda kwenu kafanyie shughulu zako Za udaku huko tuone......dar kila mtu kwao pimbi we...

    ReplyDelete
  5. Anza wewe pumbavu...

    ReplyDelete
  6. Usilete mambo ya. Visa hapa hii Tanzania ni ya wote watanzania. Waishio hapa na hao walioenda nje kutafuta maisha. Stupid. Weee mwenyewe sidhani kama mzalamo. Zaidi zaidi.umezamia wewe au wazazi wako

    ReplyDelete
  7. Anza wemwenyewe kurudi mkoani kwako n usirudi tena dar

    ReplyDelete
  8. Admn umekosa cha kuandika.toka wewe mjini kama pamekuchosha

    ReplyDelete
  9. Mjin hakujai acha ufwala

    ReplyDelete
  10. haaaa ujui km dar ni Tz uwezi kwenda uraya mpaka upirie apo km vp ondoka ww na udaku wako na hosp kubwa zote ziko bongo akuepukiki kabisa dar jipange tena kuleta habar za maana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Eti URAYA hujakaa sawa eti UPIRIE.... We nae hamnazo Tu.

      Delete
    2. izo ni typing error kawaida sana ukiona mtu kakosea siyo ajui sawa eee tena simu z torch hatar

      Delete
  11. wacha ujinga nikwenu apo mnakuwaga na kiherehere mkisha kunywaga maji ya chumv kwa iyo na wew ni mwenyej xaxanyiny ndo mnakimbiliaga mjini mna acha shule ona xaxa ulivyo lijinga

    ReplyDelete
  12. nikwenu una naleta ushamba

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bro umemaindi kinoma, unakuja lini mjini mzee?

      Delete
  13. wacha tukomae na jiji weweeeee!!!!! kam vp na wewe kafanyie udaku huko mkoan kwenu uone kama hujarud tena jijini dar stupid!! kwan wewe huu udaku wa kimjinimjini unaopost unaukuta wap kama siyo jijini!!

    ReplyDelete
  14. Tatizo ni serikali ndo ina sababisha msongamano dar tangu 1975 enzi za Mwalimu waliamua kuwa Makao Makuu ya Tz sasa ni Dodoma na ikaundwa na Mamlaka ya Ustawishaji wa Mji Mkuu Dodoma almaarufu CDA misamaha ya kodi ikatolewa kwa watakao kuwa tayari kuwekeza mjini Dodoma. Lakini hadi leo wamezidi kung'ang'ania Dar hawataki kwenda Dodoma! Dodoma imebaki ukumbi wa mikutano ya Bunge na vikao vikuu vya Chama tawala CCM tena vikao/mikutano mingi kama sio yote ya CCM hufanywa siku chache kabla ya Bunge kuanza ama kumalizika ili kuwapata wajumbe kirahisi. Admin ningeweza kusema mengi tu lakini tatizo si wanao kuja Dar tatizo ni mfumo mbovu wa CCM na serikali yake dhaifu. Acha watu waje Dar we hujui aliyeko JUU MFUATE HUKOHUKO MAANA UKISUBIRI ASHUKE UTAKESHA.

    ReplyDelete
  15. Kwa hiyo wewe umeitwa kwenye interview au,pumbavu.

    ReplyDelete
  16. hehehehehe mmetukana sana humu lkn ukweli utabaki palepale jiji linatisha adm kaongea kweli wala si uongo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad