Na Denis Mtima
STAA wa filamu na mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shishi Baby’ amefunguka kuwa amenasa vilivyo katika penzi la msanii mwenzake, Nuhu Mziwanda hatarajii kuachika.
Akipiga stori na paparazi wetu, Shishi alisema yupo tayari kuolewa na Mziwanda kwani anampenda na ndiyo ubavu wake kutokana na vile ambavyo amekuwa akimwonesha mapenzi ya kweli tofauti na wapenzi wake wote waliopita.
“Huyu ndiye shemeji yenu, ndiye mume wangu mtarajiwa, ninampenda na yeye ananipenda kwa hiyo Mungu akijalia soon tutakamilisha taratibu za ndoa,’’ alisema Shishi Baby.
GPL
SHILOLE: NILIPONASA SASA SIPINDUI-MAHABA NINYONGE
17
April 17, 2014
Tags
unambemenda tu mtoto wa watu
ReplyDeleteHa ha Haa.aaaaa jamani kazi ipo.
ReplyDeleteMungu awajalie waowane kwel.
ReplyDeleteanambemenda kamzaa yy!miji2 cjui ikoje..gud luck shishi bby nmziwanda
ReplyDeleteNdio shuga mami.lea mtoto na ww dogo tia mimba huyo akuzalie mdogo wako.Hahaha!
ReplyDeleteNdio shuga mami lea mtoto huyo.na ww dogo tia mimba huyo akuzalie mdogo wako.
ReplyDeleteNyokooo mtoto kwan haisimami....
ReplyDeletekibela noma!!!!!!!!!!!!!!!mi pia namtaka huyo mtoto!
DeleteAiseh
ReplyDeleteNamkubali sana nuh mzee wa bwege mtozen sas n mzee mjanja vuta jko ndan
ReplyDeleteShiga mamy unambemenda mtt jamani ona huruma japo kdg!!!!
ReplyDeleteMziwanda kapata dodo!
ReplyDeletehakuna kuzaa wala nn dogo naona shishi baby kifiro kimkolea
ReplyDeletempe kifiro mpaka asikusahau
ReplyDeleteshishi wewe malaya2 aukunaidadi unatafuta duh awafiki 80. sasa nauyo dogo?
ReplyDeleteAsiekua Malaya nani humu nyooooo.kusema wenzenu tu yenu yanawashinda
ReplyDeleteKifiro ndo habar ya mjin umeonja tu umenogewa hutak kumwacha dogo
ReplyDelete