BABA DIAMOND "MWANANGU SI RIDHIKI YANGU...HANISAIDII KITU"

Baba Mzazi wa Mwanamuziki Maarufu na Mwenye Pesa nyingi Kutokana na Mziki Kuliko Wanamuziki Wote Bongo Diamond Amefunguka na Kuliambia Gazeti Moja hapa Bongo Kuwa Mwanamuziki huyu Si Ridhiki Kwake kwani Hamjali wala kumsaidia kama Baba yake ...Mpaka Leo haijulikani kwanini Diamond hamkubali huyu jamaa kama baba yake...Mapenzi yote amehamishia kwa mama yake ambae ndio aliyemleta toka akiwa mdogo......Diamond Msamehe Mzee Hata kama alikutosa ukiwa Mdogo......!!!

Post a Comment

35 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Baba labda ulimtelekeza mwanao na mama yake ndio mana na yeye hakujali, ndio iwe fundisho kwa akina baba wengine

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ha ha haa unalo hilo wakati unamtimua mtoto na mamake bila huruma wakaishi km chokoraa si ulijiona wee mjanja? Ulifikiria mtoto ni jiwe kwa halikui sio, sasa malaya na mtoto wake waharamu Mungu kawatizama kwa jicho la huruma, mwache mama Dai ajilie, mwisho wa ubaya aibu, mungu hakumpa thamani kubwa mama bure tu, Mzee HAKUNA KABURI LA BABA ALIEKUFA KWA UZAZI DUNIANI. acha kelele zako

      Delete
    2. Duh nimeipenda bure hiyo, mdau kula tano!!!

      Delete
  2. Ndiyo wanaume mjifunze kazibyenu kupandikiza ila wanawake ndiyo wanateseka na malezi haya baba mama naseeb anajiliankivulin baada ya kuaota sana juan kumlea mwanaye.. diamonds msamehe mzee nsiyo hivyo baba ni baba hatabkama alikupoteEa wakatbhauna kitu. Mungu ndiye mlipaji wa mem na mabaya

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usimsamehe kula bata na mamio leo ndio anakujua mwache ale mavi ma malaya zake aliokula nao ujana nyoooo eti sirizki kwako sie twala bata utaisoma mzee mungu hakulani kakupa utajiri uko yeye aumbuke diamond kanyaga twende baba achana na kahaba aliekosa dira

      Delete
  3. Tanzania tumepoteza rasilmali nyingi sana ,na hazina kubwa kwa taifa ,nje ya mipaka yetu ,ombi serikali yetu ijitahidi ,sana ,kuwakaribisha vijana nyumbani,nchi nilizo tembelea ,nakuona raslimali za nchi zilivyo potea kwa wasomi wetu wenye utaalam wakutisha wanavyo nganganiwa na mataifa mengine ni ujerumani,I ndia,china,canada,usa,Finland,Malawi ,Botswana, etc.hawa ni wasomi walisomeswa na serikali ,serikali ifungue milango kwa ajili yao asanteni.

    ReplyDelete
  4. Dommmoooooooooo mboooooo kama filimbi kachanjia na dawa za kikongo tumuone mtamu lakini nmeimis kantangazeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  5. Domoooooooo mboo kama filimbi kachanjia nadawa za wakongo tumuone mtamu chezea mkigoma lkn nmeimis kantangazeeeeeee

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mxiiiiiouuuuu mwezi mchanga hapo jui

      Delete
  6. Piga chin achana nayeee Ndo wanaume tujifunzeee

    ReplyDelete
  7. Sasa hivi ndiyo anamjua si alimkataa!!!!!! Me ni mwanamke najua tabu ua kulea mimba kujifungua kulea mtoto uhangaike wee mpka leo diomond katoka ndiyo anajitokeza je adingekuwa super star angemkubali???huyu baba hana akili kabisaaaa mama wa watu kahangaika sana na mwanaye nipo pamoja na diamond msamehr kama baba ila akukalie mbali kama ulivyokuwa mdogo ungekuwa masikini ungemjua mpka inakufaa aende zake huyoooo

    ReplyDelete
  8. All in All,Samehe Saba Mara Sabini,Duniani tunapita tu,kama unatoa msaada kwa yatima.wazee na Vikongwe ila una acha mzazi wako anateseka kisa alikutelekeza wewe na mama yako haina maana,tujue kusamehe na kusahau Nani alikufa akazikwa na Nyumba,Gari,Dhahabu na Pesa zake? Vyote ni mapambo ya Dunia na tutaya acha.Nasibu For give ur Dady and Forget the past,utajaliwa heri zaidi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kusamehe kasamehe, but hana pesa ya kumpa baba yake. Alicho kuwa nacho kinamtosha yeye na mama yake tu. Baba yake si mlemavu wala akatafute kwa jasho kama maandiko yalivyo sema. Mbona wakati anamtelekeza hakuwahi kwenda kumtangaza magazetini!! Now Mungu kaonesha ufalme wake kwa Diamond ndio baba anaijitokeza eti haisaidii!!? Kuwapa yatima ni jambo jela saana, kwa kifupi Diamond kasamehe baba yake longtime ,na ndio maana Mungu kampa mafanikio kwa kuto kuwa na kinyongo na mzazi. Ila hela yakumpa huyo mzee hanaaaa

      Delete
  9. ni ujinga bila yeye kumtomba mama ake angezaliwa hata mungu anatuamrisha tuheshim wazazi wetu pesa kitu gani huyo diamond ana pesa ama ana vijisenti wenye pesa wamekaa kimya hawajitangazi yeye kazi umalaya tuu na eti ndo muislaam sasa asubiri akifika mbele ya haki atajuwa kipi kilikuwa na umuhimu kwake kwani maisha ni mafupi na starehe za dunia zina mwisho

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwenda hukooo alikuwa wapi ndionyie mnaotelekeza watoto,mnawaachia kina mama mtoto akifanikiwa Baba anakuja ulikuwawapi.akipenda amsaidie lakini si lazima mama nasibu ndiokilakitu kwa mwanae nyie simnakojoa tu mkojo Kisha nduki ale sasa nduki zake

      Delete
  10. Replies
    1. Thaman ya baba na mama itabaki kuwa pale pale, hata uwe mtu wa aina gani,diamond ka kwel n babako huyo, kuWa naye karibu sio lazma umpe pesa nyingi unaenda nae ado ado asilalamike,god keshamuadhib sasa na ww ukimuadhib subir zamu yako god akuadhib,cos huna mamlaka hayo wala yeye hakua na mamlaka ya kumuadhib mama yako, ni god pekee ndio anamamlaka,kuwen makin mnaotoa adhab kwa binadam mwenzio,

      Delete
  11. hajawakuta ndo maana mnasema amsamehe,hakuna msamaha hapo songa mbele usingekuwa na pesa angerudi kuwatafuta? yote hiyo ni pesa wakati wa ujana hakuonekana alikuwa anakula pesa zake na wadada wa mujini hakuna kumsamehe

    ReplyDelete
  12. Huyu mzee ni msenge anatafuta umaarufu, hayo mambo bdl ya kudiscuss na wanafamilia anawaambia magazeti, ss Domo mteme tu hao magazeti ndo watamweka mjini ye si kidumE 'mbolo wimA'

    ReplyDelete
  13. Nyie mnao jishauwa , mlishaga wahi kutelekezwa na mzazi tena makusudi tu? Inauma saana asikwambie mtu, na kusamehe mtu sio lazima umpe pesa! Huyo baba apige kimya ,na iwe fundisho kwa wazazi wanao telekeza watoto wao.

    ReplyDelete
  14. Diamond huyo mzee ameshapigwa laana ya kukutelekeza na mungu amemuonyesha makosa yake hapo alipo anajuta sana kwa mabaya yote aliyowatendea wewe na mama yako. leo hii mpaka analalamika magazetini hana jipya msamehe babayo mpe msaada ado ado na maisha yako yataendelea kuwa supa zaidi

    ReplyDelete
  15. Na mungu atawa aibishasana wa Baba wanaotelekeza watoto watapaukasana tu,nakisha kujileta kwa watoto wao wakiwa wamepauka kama huyo.mungu hadhihakiwi nasikuzote mungu huwabariki watoto wanaokataliwa na babazao au kutelekezwa.nahso wababa hushushwa chini kimaisha na mungu mwenyewe.mungu nimkali sana

    ReplyDelete
  16. hiv mama dai angemtupa mwanae au kutoa hyo mimba ungemjulia wap mwanao ila kwa kua ishatokeaga shukuru mungu umekua na mungu kakujaalia kipato msaidie tu kwan kma kuaibika kashaaibika sna mungu atakuzidishia yy alikudharau ila mungu kakuinua na kma aliona mama yko kamchakachua kusema mimba sio yake leo DNA kapimia wap kujua we mwanae hvyo ni aibu tosha we msamehe tu......

    ReplyDelete
  17. jaman jaman msimlaumu diamond wala mama ake, achen tu amchukie baba ake wanaume wanatesa sana wanawake wanajiona wajanja sana kuwapa mimba wanawake na kuwakimbia kaz yao umalaya pombe na mambo mengi tu ya cfa huku wakiwaacha watoto wao wanateseka, nasema hivyo kwasababu mimi mwenyewr nimezalishwa mwanaume kanikimbia kisa alimpata mwanamke wa bandali anaela nyingi, akaishi nae na akazaa nae. toka mtoto yupo darasa la tatu mpaka leo hajui mtoto anavaa nini anakula nin pensel shilingingap kila kitu mimi na mpaka ss hiv mtoti nimempeleka secondar bagamiyo boding hajui ada kiac gan wala nini, je mungu akimsaidia akiwa n maisha mazur mtamwambia amsamehe baba ake au amsaidie? hawa wanaume nyoko sana hawafai kusamehewa, n mim cna kaz nipo tu home n vibiashara vya baraf najichezea mchezo ili mtoto asome yy anakula ujana tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Pole kadala na mtoto akifanikiwa kimaisha libaba lake likijileta limwagieni maji ya Moto mana ndicho anachotaka

      Delete
  18. huyu mzee hana kasoro na wanaume wengine, ni wengi wako hivyo mtoto akipata jina anajidai wake alikuwa wapi siku zote mama wa Nasibu kauza maandazi hadi kabaki mifupa mitupu jamaa linakula kuku kwa mahawara leo anajidai kasahaulika, wanaume jirekebisheni inaudhi sana mnaacha familia zenu zinataabika mitaani, wakifanikiwa mnaanza kulalamika mimi ningekua Dia yaani sijibu kitu hakuna cha kumsamehe hapo. kwani mtoto domo peke yake, arudi kwa wale aliokuwa akiwasaidia hapo mpaka mashangazi watajitokeza kumsaidia kaka yao. Diamond kaza buti msaidie mama yeye ni kila kitu ktk hii dunia, wanajua kutundika hawajui kulea kila anayemsapoti huyu baba hayajamfika hivyo ashukuru mungu

    ReplyDelete
  19. haiwezekani we we uwape pesa hao Malaya wako name kula nao kila aina ya statehe afu babaako anateseka eti kisa alikutekeleza,kwani hao Malaya walimsaidia nini mamaako kipindi anakulea?ni nani anathamani kati ya babaako na Malaya? sielewi huko msikitini unafataga nini

    ReplyDelete
  20. Mzee mwenyewe simnamwona anavyopenda mteremko?
    Kafirane na wachawi kuma la mamaako la dsel sura km kuma

    ReplyDelete
  21. Mnao muhurumia huyo mzee hayaja wakuta, Naseeb unaweza msaidia babako kwa hiari na sio lazima aendezake huko, wanaume wengi wapo hivo, ndio wanasabaisha wimbi la watoto mitaani washenzi sana, Daimond angekuwa teja, mkabaji nk huyo mzee asingejirudi kumuhitaji lkn kwakuwa mambo yake safi eti babake anapiga kelele, mzee kuzaa si kazi hebu jiulize je ulitimiza wajibu wako ktk malezi? Na km hukufanya hivyo mbaya zaidi ulimkataa sasa leo huoni haya kupiga makele, wanaume wengi mnatabia mbaya eti sikuzote mtoto mbaya au km kazaliwa ana ulemavu mnamtupia mama ila mungu akimuangazia neema ndio mnajileta na lawama nyiiiingi, namsapoti sana daimond kwa kutambua muhimu wa mama yake hongera sana. Wababa wengine mjifunze

    ReplyDelete
  22. Mzee huna haja ya kuhangaika na Diamond au Media, mtongoze mama yake Diamond, akikupa kuna hasa... Diamond hela atatoa mwenyewe

    Na hili wala usingelirefuusha, ungemrudia sweet wako kipindi kile cha kamwambie, ungejifanya kama fala vile

    Mbona Diamond angekutoa!

    Ila ulikosea na unazidi kukosea, kulalamika kwenye media, yule mama anataka mpini, na kwa kuwa ulimtosa hizo njia unazotumia sasa zitakupotezea muda

    ReplyDelete
  23. Nyie woote mnaocoment amsamehe,kusamehe sawa ila kumsaidia hiari tena si lazima...hivi mama diamond nae shida zingemlemea nae akaamua kumtelekeza mtoto na mtoto mwenyewe bahati mbaya afe ama awe chokoraa je angemng'ang'ania hivyo?je mnajua changamoto mzazi wa kike anazopitia kumlea mtoto alietelekezwa na baba?jamani musiongee mimi babake mwanangu katelekeza majukumu ya mwanae na sijui hata yuko wapi saa zingine mtoto ananiuliza babake yuko wapi anamtamani amuone basi mi hulia kwa uchungu tu na kumuachia mola alafu sasa nahangaika fee yake hivi juzi kafukuzwa shule juu ya ada isitoshe mtoto mwenyewe mwerevu mbaya alikuwa KG3 ikabidi wampeleke class1 juu ni mwerevu kupita kiasi,mtoto ana kipaji cha kumodel toka yuko 3yrs,ni actress mzuri tu na ndo mwanzo ana miaka sita tu kwa sasa.kila mara ananiahidi ataninunulia gari na nikiwa sina raha yaani sometimes nikiwa na stress najifungia nalia basi akinikuta mtoto huyu ni wa maajabu atanibembeleza na kuniuliza shida yangu ananijali sana na mwisho ananiambia I love u mum ok na kunikumbatia na kunifuta machozi yaani anajua kucomfort ile mbaya,saa zingine nikitaka kukata tamaa juu ya maisha nikimfikiria nguvu hunijia nashkuru.Kwa hiyo muacheni diamond na mamake waliyopitia ni mengi mpaka amekuwa hapo alipo leo ndo anajitokeza?akitaka amsaidie asipotaka si lazima ila kumsamehe amsamehe tu maana ni baba aliemzaa tu na wala hakumlea.

    ReplyDelete
  24. Thaman ya baba na mama itabaki kuwa pale pale, hata uwe mtu wa aina gani,Diamond kwa kwel n babako 2!Mungu ndiye Hakimu!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad