SIMBA WACHUKUA MAAMUZI MAGUMU,WATEMA KIKOSI KIZIMA

UKITAKA mafanikio lazima uchukue uamuzi mgumu ambao hakuna anayeweza kufikiria kabla.

Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic amesema analazimika kutema wachezaji wasiopungua 11 ambao ni sawa na kikosi kizima kinachoweza kucheza mechi ya ushindani.

Lengo la Logarusic kufanya hivyo ni ili aweze kujenga upya timu ya ushindani msimu ujao.

Logarusic sasa ana uhakika wa kubaki Simba, baada ya kuhakikishiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya klabu hiyo, Zacharia Hans Pope kwani awali hakuwa na uhakika wa kuendelea kubaki katika timu hiyo kutokana na mkataba wake kumalizika.

Kocha huyo atasaini mkataba wa miaka miwili baada ya ule wa miezi sita kufikia tamati.

Katika ripoti yake kwa uongozi wa timu hiyo, Logarusic amewaeleza wazi viongozi wake kuwa, ili Simba iwe na ushiriki mzuri msimu ujao wa Ligi Kuu Bara lazima nyota 11 wa timu hiyo waachwe ili wapatikane wengine watakaoisaidia timu kufikia mafanikio.
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu loga ni mwendawazimu asiyejua chochote kuhusu soka.ni yeye aliyechangia matokeo mabovu mpaka hiyo simba kumaliza nafasi ya ajabu ya 4! Hata hao viongozi wa simba walioamua kumbakisha nao ni wehu na wapuuzi.

    ReplyDelete
  2. Simba ina viongozi au wasenge? Hao na huyo mzungu koko ndio wameilostisha simba.mbwa wakubwa.

    ReplyDelete
  3. timu haina makosa ila tatizo ni uongozi ulio madarakani ningekuwa na uwezo ningewaleta viongozi toka kenya

    ReplyDelete
  4. weka habari admin..unalala lala nini wewe..pumbu zako!

    ReplyDelete
  5. tatizo viongozi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad