SINTA SAHAU SIKU NILIYOLALA NA MKE WA MTU

Nikiri kwamba hakuna kitu nilichowahi kufanya kikanikosesha amani kama kulala na mke wa mtu.

Ilikua hivi,huyo mwanamke alikua mpangaji mwenzangu,mme wake alikua yupo huko mikoani,alikua mara kwa mara anatengeneza mazingira ya kuliwa,mara anitanie,hivi na vile nk.

Kufupisha story,alikuja siku moja rum kwangu,akanitega nikategeka,tukalala,baada ya kumlala nafsi yangu ilikosa amani,nikajuta,nikaona dunia nzima imeniona,ilikua usiku nikaona kama ni mchana,nikatamani nikimbie usiku huo,nikafunga mizigo yangu usiku huo huo nihame,nikaona kama dunia nzima imenielemea mimi.

Nikajuta usiku kucha,sikulala,asubuhi sa 11 nikaondoka kutoka nyumbani na kibegi kidogo cha mgongoni nikimbie aibu,nikawa na wasiwasi na mashaka yasioisha,naona kama kila mtu anajua,nikaenda stendi ila sijui naenda wapi,baadae nikaenda kwa rafiki yangu,nikalala mchana kutwa.

Niliposhtuka kama sa 10 jioni nawasha sim nakutana na meseji za yule mwanamke akinisifia sijui najua kufanyaje,kidogo akapiga sim,nikaikata,hofu yangu ikaongezeka mara dufu. Sikurudi nyumbani kama wiki nzima niko kwa rafki yangu.

Nikabadili namba ya sim ili yule mwanamke asinipate,sijui aliitoa wapi tena namba yangu mpya,kunichanganya zaidi akaniambia hajaona siku zake,nikachanganyikiwa,nikatam an dunia ipasuke niingie,nikawa na mawazo ya kujinyonga(kumbukumbu haikuja kama nilitumia mpira,kumbe nilitumia)

sitasahau hilo tukio,kwa kweli kulala na mke wa mtu ni vibaya sana,hata Bible imekataza hiyo dhambi. Kati ya dhambi zote nilizowahi kufanya hii ndio ilinikosesha amani,wala sitakuja tena kuirudia.
Tags

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. pole sana mungu anasamehe kwa yoyote anayejutia dhambi aliyotenda na kutorudia tena,amini hivyo

    ReplyDelete
  2. Nawewe lazima ufanyiwe hivyo hivyo,tuone utasikia utamu ama vipi,firauni mkubwa kinembe wee...utatombewa sana mke wako kuma we..

    ReplyDelete
    Replies
    1. Basi pole sawa

      Delete
    2. Acha usenge kutomba atombe yeye we umpe pole inahusu?

      Delete
  3. Mi nshawatomba sana, hawana ghalama kabisa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na kufirwa mbona hututangazii?

      Delete
  4. pole sana kwa hlo

    ReplyDelete
  5. Ila usirudie tena, hakuna mzigo mzito kama dhambi

    ReplyDelete
  6. Hilo pengine jini.

    ReplyDelete
  7. Iko siko yako ukipatikana juwa kuwa na ww utafirwa mkundu???

    ReplyDelete
  8. Ww hapo juu mpuuzi sana eti utananihiwa mnanihii maneno machafu na yenye kinyaa Kama kohozi la njano

    ReplyDelete
  9. Daa tako hilo jamani

    ReplyDelete
  10. usirudie umesikia ? kumbuka mtenda naye hutendwa

    ReplyDelete
  11. Kuma ni kuma tuu
    kwan mke wa mtu utamjua? me nilitombewa sasa nami nawatomba. KUMA YA WIZI TAMU AACHA KABISAA

    ReplyDelete
  12. SOMA habari za udaku, skendo na vibwenga kupitia mtandao huu : Udaku Leo

    ReplyDelete
  13. Kumanyoko unaleta story gani hii

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad