SOMA BAADHI YA MIPASHO NDANI YA BUNGE LA KATIBA

ULIFANIKIWA KUSIKIA MIPASHO NDANI YA BUNGE LA KATIBA JANA (14/4/2014)? KAMA ULIKOSA SOMA HAPA USOME BAADHI YA MIPASHO ILIYOJILI.....

Haya ni maneno yaliyosemwa na baadhi ya wajumbe wa bunge maalumu la katiba leo tarehe 14 Aprili 2014.
Tanganyika ikirudi itazaa jamhuri ya Makonde, Nyamwezi!
Mbona Comoros haijawa Hong Kong?
Unadai cheti cha kuzaliwa cha baba yako ili iweje?
Mtu anayefanya mambo kipekeyake anaitwa mchawi!
Nyerere alikufa akiwa mwana CCM na alikufa akiwa ahajabadili msimamo wake, lakini alifariki baada ya tume zote kufanya mambo yake!
Kero za muungano zitamalizwa na taratibu mtakazoziweka....na mkishindwa kusikilizana wageukieni viongozi wa dini, mfano, Pengo alisema Serikali mbili zinatosha!
Tunaomba rasirimali zirudi mikononi mwa wananchi.
Kaa kitako, mjinga tu (imesikika kwa pembeni).
Zanzibar ni nchi na JK anajua hilo. Ndiyo maana alipoenda kwenye sherehe za mapinduzi alikaa na akamsubiri mwenye nchi. Na katika kuondoka aliondoka kwanza Rais wa wa Znzibar mwenye nchi.
Hamna lolote...mnaogopa gharama nyie kweli? Mbona mmeweka mawaziri mpaka wasio na wizara maalumu?
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bunge la Jana lilikuwa nouma sana nlichekaje mana watu walikuwa wanatoa kinchen Paty ya nguvu

    ReplyDelete
  2. Alaaa nimeikosa Jana dooh

    ReplyDelete
  3. hahahaha umesahau kigeugeu 4 sure jana ilikua burudani! na yule mama alosema yy hajaufyata ameufyatua!!

    ReplyDelete
  4. ccm hawana hoja "samani kwa ku2mia ili neno coz wanastail" WAPUUZI

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wallah wana si samahani ni wapuuzi hawana hoja, hata ukiwauliza maana ya serikali mbili haielewiki hata ukiuuliza serikali tatu inamantiki gani pia hawana pointi za kuwaelezea watu waelewe balaa tupu, ilahali kuna maprofesa, madocta and so and so horrible

      Delete
  5. Mbona hapo hakuna mipasho, ni maneno ya kawaida...

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad