Duka la Magari (showroom) iliyokuwa karibu na eneo la Mlimani City barabara ya Samnujoma jijini Dar es Salaam imeteketea kwa moto na kusababisha hasara ambayo bado haijafahamika, ambapo mpaka sasa chanzo cha moto huo hakijafahamika.
Magari yakiwa yameteketea kwa moto
Hapa moto ulikuwa ndiyo umeanza kuwaka kabla ya kuanza kuunguza magari.
TAZAMA PICHA JINSI SHOW ROOM YA MAGARI KARIBU NA MLIMANI CITY ILIVYOUNGUA MOTO
8
April 07, 2014
Tags
MAFISADI HAO WAACHE WAPATE HASARA.
ReplyDeleteHII WAMEMFANYIZIA LIVE
ReplyDeleteinaumiza xna ila kama hpo hpo 2 au mali za dhurma nin?
ReplyDeleteHaya mambo wakati mwingine yanakuaga na siri nyingi nyuma ya pazia.Huwezi jua mmiliki wa hizo mali alizipata kwa njia gani na amefuata masharti kwa kiasi gani.Mbali na yote napenda nimpe pole kwa matatizo yaliyompata.
ReplyDeleteWengine wajifunze kama jamaa ana bima wengine wamepata mwelekeo
ReplyDeletePole bro,
ReplyDeleteDoooh hasara nakweli ukute kunakitu nyuma ya pazia
ReplyDeleteHamna cha hasara hp wadau ndo maana mnasemwa hamna elimu mlikimbia umande na kukesha kwenye udaku kutukana watu na kuwafurahia watu wakipata matatizo udaku ndo ajira yenu kwa taarifa yenu hy ni ndugu yangu na bima anayo so ajapata hasara km mnavyowaza nendeni bs ht hizi shule za memkwa mkapate elimu
ReplyDelete