TUWEKE USHABIKI PEMBENI..CCM INAMGOMBEA GANI WA URAIS ANAYEKUBALIKA ZAIDI YA LOWASSA?


Ni wazi wote humu jamvini kuna wanachama na wakereketwa wa vyama mbali mbali na vilevile ni wazi wote tunawafahamu viongozi wote wa chama cha mapinduzi.

Sasa ningeomba kwa hekima na busara tuweke ushabiki pembeni na mahaba ya vyama pembeni na hata kwa wale wanachama wa CHADEMA tunaomba mtusaidie kwa hili kwasabu wote tunaifaham CCM japo najuwa ci wote wanaoikubali lakin mnaweza mkatoa uchambuzi wa kina.

Sasa naomba mtuambie kwa sasahv CCM ilipofikia hapo ndani ya CCM nani anayekubalika na mwenye uwezo wa kupeperusha bendera ya chama cha mapinduzi zaidi ya Lowassa?kama yupo tunaomba kwa mwenye jina tofauti na lowassa amtaje na tujaribu kumchambuwa kama ana uwezo wa kumzidi Lowassa.

Nawasilisha

Tags

Post a Comment

34 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ZITO KABWE,AU BADO HAJAPEWA KADI,YUKO KWENYE MATAZAMIO.

    ReplyDelete
  2. MIE NAONA DR.SALIM A.SALIM..

    ReplyDelete
  3. Sasa huyo mtu ambaye unataka tumfananishe na huyo mjomba wako lowassa, awe na sifa za maovu kama yeye au, kwasabu huyu mzee hata punje ya jambo jema alilolifanya hakuna ndani ya nchii na hatokuja hafanye jambo jema zaidi roho mbaya yake kuendelea kuwatesa wananchi wa tz, ingekua vizur kama ungeuliza wazi kwamba nani ana roho mbaya ndani ya nchii zaidi ya lowassa? Apo tungekuelewa vizur sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeongea ukwel anataka tumfananishe na wengine kwa lip jema alilowafanyia watanzania?au kwenda bandarin usiku kukagua makuli ndio umeona mchapakazi?fisadi tu wacha kutuzingua.

      Delete
  4. mgombea anayefaa zaidi ya Lowasa tutamjua siku CCM watakapomtangaza rasmi hizi kampeni zako za chini chini tupa kule usiisemee CCM wewe sio Nape wala Kinana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. HAHAHHA mdau u made ma day yeye sio kinana wala nape

      Delete
    2. Gud sana. Jibu zuri saaana coz jamaa ajitia kupiga kampeni kiana!! Kwanza huyo low waser kapoteza sifa.

      Delete
  5. HE HIVI UMEFOKA UCHAGUZI,HATA HAMJAMALIZA AHADI ZENU MNAANZA KAMPENI.ALIYEKUAMBIA TUNAMTAKA LOWASA NANI,TIMIZEN AHADI,ACHENI UPUMBAVU,KAMPENI MCHOKA MAKANISANI NA MISIKITINI MMERUDI KWENYE MITANDAO MPENI YULE MBUNGE WA NKASI ALIYEOMBA BANGI IRUHUSIWE KULIMWA ILI WANANCHI WAJIPATIE KIPATO,ANAITWA MH.KESY.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Pufff, nimeipendaje hii......

      Delete
  6. Lowasa labda amuongoze babu yako na bibi yako

    ReplyDelete
    Replies
    1. Naona anataka afie kwenye madaraka

      Delete
  7. Apewe yule mpemba, Salim A Salim

    ReplyDelete
  8. Bora iwe serekali ya kijeshi... kuliko ya ccm. AU mara kumi tukubali mgombea huru!

    ReplyDelete
  9. Hivi yule mama salome sijaona katibu mkuu wa Ardhi na balozi wa Japan .mama nilimkubali yule

    ReplyDelete
  10. Kampen zako hizo za ki K

    ReplyDelete
  11. Hilo bonge la JEMBE ndio mtu sahihi wakutotoa hapa tulipo.

    ReplyDelete
  12. Nafaa Mimi 2 wengine 2pa kule CCM oyeeeeeeeee....Kidumu chama cha mapinduzi(.....)

    ReplyDelete
  13. Tukaneni mtukanavyo but Edo ndie present Hanna mwingineeeee na sio kampen za chin chin Bt ukwel ndio huo, you kno eat mtu wenye matunda lazm upigwe maweeeeee

    ReplyDelete
  14. Blackbeauty ya Arusha9 April 2014 at 18:18

    Huyo ndo president wetu 2015 Lowasa jembe wengine ni mait zinazotembea tuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbona kama umemuongelea huyo muhusika bilakujua.ulipotaja mait zinazotembea hahaaaaaaa duuuh we kboko umeng'ata ukapuliza

      Delete
    2. Tena kapuliza puuuuh panya huyo wa arusha madai anamsifia hapohapo kamponda maiti zinazotembea kwikwiiiiiiiiiiii imekula kwako cauz inamuhusu muhusika

      Delete
  15. Namkubali sana salimu.A.salimu huyu ndiye rais atufaaye kwa 16-25. Mambo yatakuwa fresh.Tanzani kidumu chama cha mapinduzi hatuwezi kuwapa watu nchi waje watutese kwa kuja kulipa madeni kwamikataba yao waliokubaliana nawazungu ili wakichuwa nchi ili wawape madini yetu tuneshituka ccm oyeeee

    ReplyDelete
  16. Nabii akubaliki kwao, Edo oyeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  17. Replies
    1. Salim Ahmed Salim ndio anafaa na watu wengi wanamkubali

      Delete
  18. Kwa maslah na maendeleo ya nchi'ya tanganyika lowasa ndo suluhu

    ReplyDelete
  19. Ummeonaeeee Bt people's wana angalia mabaya take Tu kumbuka mh pinda anachukua madaraka alisema czan kama viatu ulivyoniachia vitanitosha and nazan mnaona anavyopelekeshwa. Edo jembe dts y wasiokubalika wanahaha kumchafulia

    ReplyDelete
  20. Ninyi ndo mnao lipwa mfanye kampen kwa taarifa yenu tz haitakuwa na rais mwenye jina na sifa kama za huyo labda afe na kuzaliwa upya.Mshaurini akafanye upasuaji wa sura ili awe mwingine zaidi ya hapo izo tri 16 zitaisha na hakuna kitu..

    ReplyDelete
  21. Salim, naweza mkubali, anaonekana mtu poa, na makini, ila itabid awe mkali madarakani, asiwe mpole wenzake wakamzidi changa la macho kwa wizi wa mali za umma, ambazo ni jasho la wanachi, mali za umma zitumike kwa Watanzania wote, boresha mashule, hospital, huduma za afya, madawa ya kutosha nchini, kwani huduma za afya ni mbovu sana Tanzania

    ReplyDelete
  22. pingeni mpingavyo but EDO ndie baba lao

    ReplyDelete
  23. kiukwel edo anafaaa ndo maana wenzake hawamtak agombee.

    ReplyDelete
  24. kiukwel edo anafaaa ndo maana wenzake hawamtak agombee.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad