UNGA WAZIDI KUMTESA RAY C

NA MAKONGORO OGING'

MSANII mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ambaye aliwahi kuathirika na utumiaji wa ‘unga’, hivi karibuni alitinga ofisi ya kitengo cha kupambana na kudhibiti madawa ya kulevya na kuomba kupatiwa majina, idadi na sehemu walipo watumiaji wa mihadarati hiyo ili aweze kuwasaidia kwa kuwapa somo, kitu kinachotafsiriwa kama bado unamtesa.

Ray C anadaiwa kufika katika ofisi hizo, Aprili Mosi, mwaka huu, saa nne asubuhi hali iliyozua gumzo kwa askari waliomuona ambao walijiuliza kitu alichokifuata.

Akizungumza na Uwazi, kamanda wa kitengo hicho cha madawa ya kulevya, Godfrey Nzowa alikiri kufika kwa msanii huyo ofisini kwake na kutoa madai hayo lakini alimwelekeza kwenda Hospitali ya Taifa Muhimbili kwani huko kuna kitengo kinachoshughulika na watu wenye matatizo ya akili wakiwemo watumiaji wa madawa ya kulevya.

Kamanda huyo alionesha kufurahishwa na kitendo cha msanii huyo ambaye pia anamiliki taasisi yake yenye lengo la kuwasaidia waathirika wa matumizi ya madawa hayo kwa kuwapa elimu, akisema atatoa msaada mkubwa kwa wenzake.

Aliwataka watumiaji wa madawa hayo ambao wameshindwa kuacha, wamfuate msanii huyo ili awape elimu na amewaonya wote wanaotumia na kusafirisha madawa hayo.
“Wote wanaotumia na kuuza madawa hayo waache mara moja kwani kikosi kazi kinachopambana na biashara hiyo kimejipanga kila kona ili kukomesha biashara hiyo haramu,” alisema Kamanda Nzowa.
GPL

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyo nae toka lini chizi akapona..................

    ReplyDelete
    Replies
    1. sijawai kuona unampongeza mtu we ni kuponda tu

      Delete
    2. Kwi Kwi Kwi nana junior bwana!

      Delete
  2. sasa kama mtu hana cha kusifiwa utamsifia nini....

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama Hana sifa msifie Ana macho makubwa,hiyo nayoNi sifa

      Delete
  3. hahahaha nana junior, unanipaga raha sana

    ReplyDelete
  4. ni kweli unga unapumzika tu

    ReplyDelete
  5. hapo juu ajiweke bac umpongeze

    ReplyDelete
  6. Ray c angekuwa mwembamba angevutia zaidi,

    ReplyDelete
  7. Ubaya Wa unene Ni kuonekana mkubwa zaidi ya umri wako hapa Ray c anaonekana Ana 40.

    ReplyDelete
  8. mimi naiwazia tu hiyo kuma yake, maana itakuwa imepoa na imevimba kama vile yuko bikira baada ya kupumzishwa mda mrefu, kwa hiyo niikipata itakuwa tamu balaaa.

    ReplyDelete
  9. mim nawazia tu hiyo kuma yake huyu mtoto jamaani na jinsi imepumzishwa mda mrefu najua itakuwa tamu balaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Msameheen bure hajui alitendaloataondoka kama chfupa shaur ake.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad