VIDEO IKIONYESHA JINSI BASI LA HOOD LILIVYOKUWA LIKIUNGUA MOTO

Habari za basi la Hood kuteketea kwa moto likitokea Mbeya njiani kuelekea Arusha zimetoka na kusambaa sana April 29 2014 jioni na hakuna mtu aliyepoteza maisha lakini watu wanaofikia 40 wamejeruhiwa huku 55 wakinusurika kifo.
Hii ni video ikionyesha jinsi basi hilo likiteketea kwa moto Chalinze Pwani.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwaka huu tunakwishaa

    ReplyDelete
  2. Magariyao naona yameshaisha yote hawa hood

    ReplyDelete
  3. KUUNGUA BASI HILI, ANAPATA MENGINE KUMI. KAFARA

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad