1. Kuishi na mwanaume ambaye ajakutolea mahari au kukuoa. Hii inachoma lakini ndio ukweli wenyewe. Usiwe mjinga
2. Kukubali kuwa mke wa pili. Samahani sana nitakao gusa imani zao
3. Kuvaa pete ya uchumba ya mwanaume ambaye even hata kwenu apajui. Na pengine hata wazazi wako hawajui
4. Kutumia picha ya boyfriend wako kama profile picture wakati yeye hana hata wazo la kufanya hivyo.
5. Kumpa thamani yako PRIDE (Bikira), mwanaume ambaye ajatoa pesa ya mahari
6. Kupika chakula mara kwa mara na kufua nguo kuonyesha upendo kwa boyfriend wako ambaye sii mume wako.
7. Kutokumuheshimu mzazi wako kwa sababu tu ya mwanaume ambaye wazazi wako hawamjui
8. Kumpa mwanaume sex kirahisi tu kwa sababu amekuambia atakuoa
JITAMBUWE!!!
Ni uwezo wao mdogo wa kufikiri juu ya mahusiano! wadada wengi huwa wanakurupuka tu!
ReplyDeleteAMINA MTUMISH. WASICHANA TUAMKE JAMAN. TUACHE KUJIRAHIS KWA KUHOFIA KUTOOLEWA. KAMA IPO IPO TU.
ReplyDeleteMtajiponza bure au utawaponza wenzako wanao itaka ndoa.. unafikil bila kufanya baadhi ktk hayo mambo nan ataona umuhimu wako...hayo maneno ya kishosti ndio kila siku mnajiponza nay...take care
ReplyDeletehahahhha nimekupenda bure mdau... hakuna anaetaka kuoa garasa au kuuziwa mbuzi kwenye gunia???huyo aliyeandika kama ni mwanaume ukute demu wake kamuoa ana mimba
DeleteNami nataka mwanamke jamani kabila lolote ila awe mtumishi au mjasiria mali awe tayari kupima Zaidi ya mara tatu bila kusex,kama amezaa asizidi wwatoto 3 ila mie mkristo niko mgodini geita.
DeleteKIZAZI CHA UKAID NA CHENYE KUJUA SANA PASI KUTII NA KUMWOGOPA MUNGU. UTAZITEGEMEA AKILI NA NGUVU ZAKO HATA LIN. NDIO MAANA WATU WENG HAWAFURAHII NDOA ZAO HATA WAKIFURAHIA NI KWA MUDA TU. KWANI FURAHA YA WAPOTEVU NI YA MUDA MFUPI. TUMWESHIMU MUNGU KATIKA MAAMUZI YETU HATUTAJUTA.
DeleteWe bwege kweli unadhani wanawake watakuelwwa? Wenyewe ndo wanapenda yaani wanaleta vinembe vyao balaa unadhani ufanyeje sasa ni kuvifumua tu
ReplyDeleteDuh! Kweli wadada mnajirahis sana mpaka aibu, akishapata boyfriend ndani ya mwezi mmjo akikukaribisha geto kwake siku moja tu kosa, umerogwa tayar unaamia kabisa, bila hata kufuata taratibu za kiafrika na kidini, poleni sana dada zetu hasa wa kibongo mnatia aibu sana
ReplyDeleteHuyu admin kweli bwege unazungumzia mapenzi ya karne gani kwanza. Looks like u r living in the cage or u r just stupid! Hakuna fomular ya mapenzi duniani inayoweza kumfikisha mtu kwenye malengo yake ndoa hata kidogo. Kila relationship na mambo yake. That means hakuna mwalimu wa mapenzi in general duniani. Unaweza fanya hayo unayoyakataza na ukaolewa au usiolewe.
ReplyDeleteNami nataka mwanamke idara zifuatazo,,mwalimu,mjasiria mali,hakimu,mkulima na kada zingine isipokuwa police,magereza,jwtz na nesi,niko bandari ya dsm hata mkulima naataka.
ReplyDeleteUsibague ndugu, vp unaogopa kufulishwa magwanda???
Deletehapa co sehem ya kutafuta mke mwambie bibi yak kijijin akutafutie
ReplyDeleteWasenge nyie nnaotafuta mademu
ReplyDeleteha h ah ah ha ha ha hivi nyie vi boy mnakomali ubikra na nyie bikra yenu mnamtunziaga nani, mama zenu? mafala wakubwa
ReplyDeleteMi kwanza cfagiiagi bikra..... ya nini??... napenda mambo yaliyoenda shule, kitu nizungurushiwe kama mduara, jike vivu na choyo ya kunipa mambo mimi hapana taka.
ReplyDeletenyie mnaotafuta mademu mnajielewa kweli?!
ReplyDeleteHahahahahah mmmmmh napita tu bandugu!
ReplyDeleteMsenge kweli we uliyewaza pumba hizi, nini maana ya mahusiano sasa?
ReplyDeletekwa dunia ya Leo hayo ndo mambo yanayopelekea ndoa, jay dee na gadna walidumu ktk uchumba bubu miaka 5 ndo wakaoana, naona umekomalia mahari, mahari,unayaka nitolee mahari garasa? mingine hata kupika hayajui, ninahakika huyu alieleta hii mada ni mwanamke,pumbavu
ReplyDeleteMuda muafaka umefika na tunataka wanaume bikra,sio jidume limepita kila shimo mwishowe halijui ladha tamu au chachu linaanza tu kucompare kwasbb lishapita kwingi...Mwenye kujua mwanaume bikra
ReplyDeleteYaaani Yaaaaani leo nimeguswa mimi ni mwanamke ila umeongea ukweli mtupu embu niwatumie wadogo zangu maana inawahusu. Kiukweli wanawake tubadilike imajin mwanaume kaandika ivi kujidhalilisha gsni huko
ReplyDeleteina ukweli ila na kwavipi wanaume bikira unaweza wapata pia nimeona kwa macho yangu unaolewa bikira na jamaa anakuacha nakukutenda vibaya mno sifa zote unazo nafikiri kwaambao hawajaanza watumie hizo njia na kwa walio kosea nikutengeneza ktk ndo hakuna mafundisho ila ni niye wote wawili unaweza ukawa ni mwanamke ambae ni mwema sana jamaa atakutenda navyofahamu nikuwa yapo mapito kama unaishi kwa raha iko siku utapita katk mapito usiseme wewe ndio mwenye akiri sana nasissitiza nimeona namejifunza all the best
ReplyDeleteZOOOOTE UPO SAHIHI KASORO NAMBA MOJA......WABONGO MILA NA UTAMADUNI UTATUPONZA,ILI UISHI NA MWEZI WAKO VIZURI NI MUHIMU KUMSOMA NA KUMTAMBUA WEAKNEC NA STRENGTH ZAKE BOTH SIDES NIDS TO DO THAT....SASA UTAMSOMAJE KAMA HUISHI NAE?JAMAN NYIE TULIO KWENYE NDOA NDO TUNAJUA UNAOLEWA AU KUOA NDO MNAANZA KUSOMANA TABIA NA MWISHO WA SIKU MNASHINDWANA NDO MNAZIITA NDOA ZA MJINI.WENZENU NCHI YA JIRANI UNAKUTA WANAISHI PAMOJA HATA MIAKA KUMI NDO WANARIDHIA KUFUNGA NDOA WENYEWE SASA KWANI BIKRA INAMATA KAMA MTU ANA TABIA MBAYA MAUMIVU YA MAPENZI HAYAANZII SEHEM MOJA TU NI UWANDA MPANA INAHUSISHA UKWELI,UAMINIFU.HESHIMA NDO UPENDO,,,,,HAYA UNAPATA MKE BIKIRA KUMBE MWENZIO ANAGAWA NYUMA UNASEMA UMEPATA MKE? NI VYEMA WOTE WAJULIKANE KWA WAZAZI THEN YOU MOVE IN PAMOJA HAPO MNASOMANA VIZURI NDO NDOA IFUATE.....UNAWEZA UKAWA UNAKAA KWENU UKISUBIRI NDOA ILA KILA KUKICHA UNAFANYA MAPENZI NA WANAWAKE/WANAUME TOFAUTI...HAISAIDII
ReplyDeleteyote maisha
ReplyDelete