WANAUME WAFANYAKAZI WANAO KUFA NA TAI SHINGONI-CHEZEA WHITE COLLAR JOBS

Wanaume wafanyakazi wana mengi rohoni. Kazi zenyewe hizi za watu kuganga njaa tu, mradi utoke asubuhi umeoga tu, ukweli tunaujua wenyewe maofisini. Huku nje sasa full kujistiri ile kuficha aibu manake tukisema all cards on the table tutadhalilishana watu wazima. Kibingwa tunakomaa na tai shingoni uso mkavu, mfukoni siri ya mfuko.

Bora uwe ke utachuna, ukiwa me lazima ujue kukomaa na jiji bila hivo you wont be getting any from them babes! Au ndo usipende makuu, uwe unachezea kombe la mbuzi. Manake nabiii hakubliki nyumbani kwao asilani. Wengi hatupendi kuchezea kiwanja cha nyumbani, unaenda ofisi zingine huko kuwafunga kamba, and if you are lucky unaweza mvua papa wa pande zile wakati ungekomaa ofisi moja labda umpte mfagizi( with all due respects).

Basi bwana nikamkuta mbabe mmoja anatoka my past co-worker, anamuona WA MAANA BALAAAA! Kamfunga kamba kafungika, anamuona bonge la mtu mwenye bright future!. Anmsifiaje sasa? Sasa mimi namjua kiundani coz nishafanya nae idara moja. Ndo akaanza kunipa achievement zake to make me jelousy!

Ana gari rav 4, sio ya urithi kanunua kwa nguvu zake. Hii rav 4 mi stori yake naijua nje ndani, tulifanyaga inshu hio kampuni, kuna mali flani za kampuni tulijibinafsishia. Sasa kikanuka zikaanza hearing, tukajadiliana hapa hatuponi wala nini, tukope tu NBC, au Barclays, Stanbic kokote kule, tuchukue mafao yetu mapemaaa, ukichanganya na NSSF sio haba, na pale mikopo ilikuwa insured. Baada ya kukopa tukaresign kila mtu akaishia kivyake, ndo yule bwana alinunua hio rav 4.

Kamwambia ana viwanja Arusha Njiro, wakati uongo na picha kamrushia, wakati hio picha kiwanja cha bi mkubwa wangu, mimi ndo nilimrushiaga nikamwambia nimeambiwa nikajenge nihonge basi. Kumbe aliisave. Akamuonesha na site hio site ya x gielfriend wake tulikuwa wote idara moja. Na mambo mengi ya uongo uongo tu.

Kiukweli yule bwana HANA KITU! Na ni mzee wa INSHU kitamboo coz kazini yuko toka 2007, ni jembe akiona opportunity ya kukwapua hela hakawizi wala hasiti, ndo alitupolute sisi, na mimi nimepolute vitoto vingi sanaa kwenye udokozi dokozi huu, na hivi wanapenda mambo makubwa. Sasa hawezi kudumu kazini kama sisi tu, coz ikitokea chance we risk it all for that one chance. Na huu u chori chori mwisho wake 40 unaenda jela sasa future gani hii? Mwenyewe nimetafuta kazi sishiki hela kabisaa nishakubuhu kwenye udokozi. Na hela ameshika sanaa ila hela za watu hizi wenyewe wanazijambia hufanyii chochote.

Bi dada ni shosti wangu, na niko dilema nimpe facts aamue au nichune tu? Kumwambia naona its not my call to make, sina usafi huo kwa kuanzia, pili ni kitambo huenda kabadilika, tatu the guy is just tryin to survive jst like the rest of us, ni victim tu wa misallocation of national scarce resources. We are all liers in the end. Mwanamke gani anataka broke ass? The dude did what he had to do. Kutomwambi naona maisha yakimwwndea ndivo sivo nitaji laumu sana, i could do something but i didnt. Pia will she believe me? Kama mjuavyo penzi ni kipofu YOU ONLY SEE AND HEAR WHAT YOU WANT TO SEE AND HEAR.

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nini hiki sasa mbona sijaelewa stori haina miguu wala kichwa.

    ReplyDelete
  2. mmmmmmhhhhhh but leave them alone,

    ReplyDelete
  3. hicho kiswanglish chako mpelekee babu yako,,,, nyambafu

    ReplyDelete
  4. Stori juu chini chini juu!!!
    Div 5 hizooooooooooooo!!!!

    ReplyDelete
  5. Kama huna cha kuongea ni bora kukaa kimya. Hujaeleweka hata chembe.
    Kwanini usiongee Kiswahili fasaha?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad