WAPI ZITTO KABWE BUNGE LA KATIBA...?

Wadakuz napenda kujua wapi ndugu zitto kabwe mbona haonekani katika mjadala wa katiba bungeni? Hasikiki Kabisa ...Yale Machachari yake Nimeyamiss ...naomba mwenye data zake atuwekee humu...
Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. subiri muda ukifika utamsikia

    ReplyDelete
  2. Usicheze na Wekundu wa msimbazi ndugu yangu unaweza uza hata mke na watoto wako.

    ReplyDelete
  3. KONDOM ILIYOTUMIKA USHAWAHI KUIRUDIA TENA KUITUMIA? NDIVY C.C.M ILIVYOMFANYA,IMEMTUMIA KISHA YUPO KWENYE DASTIBIN KAMA SIYO CHOONI

    ReplyDelete
  4. Usicheze na Wekundu wa msimbazi ndugu yangu unaweza uza hata mke na watoto wako.

    ReplyDelete
  5. Zitto ni kibaraka wa ccm chini ya mwavuli wa chama gagari anachokiita CAT,usitegemee lolote la maana kutoka kwake.Kwa sasa yupo India pengine kutibiwa mafua.

    ReplyDelete
  6. Yupo kigoma anakuja kusaini posho nakuondoka

    ReplyDelete
  7. yuko bize kuiangamiza chadema!!! huyu ni mlafi tu wa madaraka na fedha!

    ReplyDelete
  8. subiri Siku ya kesi na chadema, ndo utamjua kuwa zitto kidume

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad