1. T.I.D
Kauli mbaya na dharau ni kawaida kwake maneno kama mseeenge kuuuma na nk yanauhusiano mzuri na mdomo wake
2. Chidy Benz
Ukisikia kampiga mtu alafu ukashangaa basi utakua mgeni nchini na labda kama hujawai kumsikia msanii huyu.ngumi ndio maisha yake sitoshangaa akiingia kwenye masumbwi mda wowote.alama ya nondo iliyopo upande wa kulia wa kichwa chake ndio ishara tosha ya misukosuko anayokumbana nayo
4. Lord Eyes
Unga unga unga huo ndio wimbo unaomfanya msanii huyu acheze michezo ya wizi kila kukicha ni umaarufu tu unamuokoa watu wanashindwa kumtenda vibaya sababu wanamjua mfano ommy dimpoz aliamua kumpotezea tu kisa anamfahamu.
5. Hemed
Alipokua tusker project fame aliwai kujibizana na jaji ian kiasi cha kutaka kupigana .kifupi ni mtu asiefikiria kabla ya kuzungumza anaweza kukujibu jibu lolote bila kutambua kama yy ni star. Bado hajakua uvumilivu wa kiutu uzima hana mropokaji mzuri sana
6. Dully Skyes
Matusi kwake ni kawaida na dharau kidogo hasa za mdomoni na pia ukiwa unamuhoji kua makini maana anaweza akaongea neno baya redioni bila shaka aliwai kumtongoza dj fetty hewani na kumtukana suddy brown hewani lakini ni muelewa kwani baadae aliomba radhi uswahili na kukosa shule tu vinamsumbua
7. Afande Sele
Kila mtu kagombana na mtu huyu hio ni story ambayo ipo kila kona ya mtaa kuhusu mtu huyu anaongea kwa busara ila akipata mambo yake anaweza kufanya jambo ambalo litakufanya ufikiche macho kuhakikisha kama kafanya yeye au mtu mwingine aliwai kutishia kuua,kuvua nguo jukwaani, na nk
8. Matonya
Huyu yeye ni utapeli tu ndio tatizo lake ukimpa hela ya show kua nae makini sana
9. Mh. Temba
Ukiwa una sikiliza nyimbo ya huyu jamaa usikae na mtu mzima maana utaaibika tu matusi ni moja ya vitu anavyopenda kuvitamka na haonyeshi dalili ya kubadilika kila siku
Taja Msanii Mwingine unayemjua ana Tabia Mbaya
dudu baya
ReplyDeleteMr.Nice
ReplyDeleteT.id na hemed nukweli kbsaa wamezidi
ReplyDeleteDudu baya na shilole
ReplyDeleteSHETTA akitumia huduma za hotel anaondoka bila kulipa kafanya hivyo hotel moja Morogoro wakimtafuta hapokei simu wakitumia nambali nyingine anpokea antoa ahadi atalipa promota wake
ReplyDeletewote Wasenge tu
ReplyDeleteDudubayaaaa
ReplyDeleteni ushamba2 unaowasumbua.
ReplyDeletefyuuuuuuuuuuu.
ReplyDeleteNapingana na kuhusu Mh Temba mimi hua napenda ginsi anavyo imba kutokana na vitendo vingi ma dada zetu ao ma kaka zetu hata watu wakujiheshimia hua wanafanya. Ndio maana Mh hua mkali anapo fikisha ujumbe. Hongera Mh Temba mimi nakukubali.
ReplyDeleteHata mm mh temba ananikosha sana!yaan umewataja umemsahau kala pina?admin unamuogopa nin?
DeleteAnamuogopa, anahisi akimtaja atachezea kichapo, maana KALA PINA hatanii hata kidogo, nakumbuka alipomdunda Chid Benz
DeleteTuwekee na top 10 ya wasanii malaya!
ReplyDeleteNey WA mitego
ReplyDeleteChidy Benz kamdunda hawara yake yukohoi anapoteza fahamu tu.nalenyewe korofi hili kama ye bondia siakapigane na matumla huko nyambafuuu hana adabu
ReplyDeleteWanajifananisha na waamerica kutukana ovyo ...wakt walalahoi tu...
ReplyDeletepombe, pangi na madawa ndo yanayowakoroga heshima wataitoa wapi
ReplyDeleteUmemsahau sugu au kwa sababu ni mbunge?
ReplyDelete