Agness Masogange ni Mama Kijacho, Kuolewa Hivi Karibuni

Hakuna ubishi kua Agness Masogange ndio Video Queen maarufu zaidi hapa Bongo, ametokelezea katika video mbalimbalia hapa Bongo lakini iliyomtoa zaidi na kumpa jina la Masogange ni video ya Belle9. Uzuri na umbo lake linawaingiza katika matamanio mengi wanaume walafi lakini kwa inavyosemekana Agness ana wake.

Umaarufu wake uliongezeka zaidi pale alipokamatwa na madawa huko Afrika Kusini, jambo lilomfanya anyee debe kidogo kabla ya kuachiwa na kurudi uraiani kwa mbwembwe zote. Ikapita miezi michache akarudi bongo huku akiwa mtu huru kabisa.

Wiki chache zilizopita Agnes aliamua kurudi sauzi kwa yule mchumba wake aliyekoswa koswa kukamatwa nae na madawa ya kulevya na tetesi zinasema kua alirudi sauzi kumpa taarifa bwana wake huyo kua yeye kwa sasa ni mjamzito.

Tetesi hizo zimethibitishwa jana pale Agness alipoamua kuweka picha yake Instagram na kuandika " Mama Kijacho " Ikimaanisha kua siku si nyingi ataingiza kiumbe kipya duniani. Inadaiwa kua Mchumba wake huyo kwa furaha aliyoipata baada ya kupewa taarifa hizo aliamua kumvalisha pete ya uchumba kabisa.

Habari BongoClan tulizozipata kutoka kwa ndugu wa karibu wa Agness ambae hakutaka kutajwa jina lake ni kua  Mchumba wake huyo anaplan za kuja Bongo kutoa mahari kabisa ili baada ya Masogange kujifungua wafunge Pingu za maisha.

Ndugu huyo aliendelea kusema kua Pete ya uchumba aliyovalishwa Masogange ina gharama ya shilingi milioni 16 za kibongo. Tunapenda kutoa hongera kwa Agness na mchumba wake kwa kuamua kuchukua maamuzi mazuri ya kupata mtoto kwani mastar wengi wanaogopa kuazaa kwa kuhofia kushuka umaarufu.
BongoClan

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ufala tu,inatuhusu sisi?pete ya milioni 16!!!mwisho watavuliana katika mafumanizi,aolewe ndio useme kaolewa,malaya tu..

    ReplyDelete
  2. ndoa za wasani bongo zinaishia kutangazwa tu

    ReplyDelete
  3. Chezea sembe weyeee!!!

    ReplyDelete
  4. hapana chezeaaaaa!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. Huyu c alitolewa mahari na kijana mtanashati wa bongo alokua anamsubiria masogange akimaliza kesi 2 amuoe??

    ReplyDelete
  6. ol de bext mic matako

    ReplyDelete
  7. sifa za kijinga,eti pete ya mil.16 za kibongo,mwisho watoto wa mbwa waje kukudhuru bure kumbe pete ni ya sh.laki moja,upuuzi.

    ReplyDelete
  8. Vick~kamata.....Type

    ReplyDelete
  9. Mnapewa pesa ilimuwarushe acheniufala hebu wekeni mambo yenyemsingi.

    ReplyDelete
  10. acheni joto hacra ndo ashachumbiwa ivo, mumtangazeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  11. tatizo hao wanawake mastaa hawatulii,hawajui kama kuna ups and down katika maisha.wenyewe wanataka uwe na pesa kila siku.apart from that namtakia kila la heri katika ndoa yake.

    ReplyDelete
  12. tatizo hao wanawake mastaa hawatulii,hawajui kama kuna ups and down katika maisha.wenyewe wanataka uwe na pesa kila siku.apart from that namtakia kila la heri katika ndoa yake.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad