Alichokisema Master Jay kuhusu uhusiano wake na Shaa pamoja na Mke wake wa Ndoa.

Ingawa kuna fununu ambazo si rasmi kuhusu uhusiano wa kimapenzi kati ya Master Jay na Shaa,hapa kuna stori tofauti ambayo Soudy Brown anai-amplify kuhusu mke wa Master Jay kutoka na msanii wa Bongo fleva,hapa utamsikia Master Jay na msanii anayesemekana kumchukua Mke wa Master Jay. Sikiliza Hapa:

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Acha kusomeka kwenye udaku utachafuliwa waachie waliozoea

    ReplyDelete
  2. kwani uongo sisi tulio shiriki bss tumeona mengi na mazito potezeni tu kama hajisomi hao wenyewe wanao anda kipindi mashoga vipi ?? nani anawahoji ujinga mtupu !!

    ReplyDelete
  3. Ujasomeka apo juu eleza vizuri wa2 2kuelewa.

    ReplyDelete
  4. Nyosha Kiswahili acha ukuda

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad