MSANII wa filamu Bongo,Lulu Semagongo 'Aunty Lulu' anadai kuwa anajuta kumvulia nguo mwandani wake aliyemtaja kwa jina la Amani ambaye hivi karibuni alimshushia kipigo kikali baada ya kutaka kwenda kujirusha usiku kwenye kumbi za starehe....
Akizungumza na Mpekuzi wetu,Aunty Lulu alisema katika siku ya tukio ni kweli alitaka kwenda kupata raha mwenyewe kwenye moja ya klabu za starehe usiku na alimpa taarifa jamaa yake huyo lakini akamgomea kwenda kwani alihisi angeenda kumsaliti....
Msanii huyo aliendelea kusema kuwa jamaa yake huyo ana wivu balaa na hilo limekuwa likimpa shida kwani wakati mwingine anashindwa kuongea na wanaume ambao mpenzi wake hawafahamu maana huwa anahisi ni hawala zake....
"Najuta kumpa penzi Amani kwani sikujua ana wivu mkubwa kiasi hiki,hataki kunipa uhuru wa kwenda kujirusha kama ilivyokuwa siku za awali.Si kweli kwaba nikienda kwenye kumbi za starehe naweza kumsaliti kwani binafsi huwa sipendi kuchanganya wanaume"Alisema msanii huyo.
Duh, huo mzigo ni noumah
ReplyDeleteMchunguze! ana mchepuko huyo!
ReplyDeleteNampenda sana mage namimi.edd
ReplyDeletehuyu kwa advatisement tumemchoka
ReplyDeleteMbona kabla hajavua hakutwambia
ReplyDeletekabang.com .tz
ReplyDeleteNana ndio mtandao gani huo kabang?
Deletekwani si bado unaendelea kutoa tigo na ndiyo maana anafanya ivo subir mavi yatakapoanza kutoka bila mpangilio uone km atakufanyia wivu.
ReplyDeleteStarehe za nn na ww umke wa m2? Acha umalaya
ReplyDeleteDuh hilo Wezere pale kati shidaaaaahhhh kumamae
ReplyDelete