Arsenal Bingwa FA, Baada ya Miaka 9 Bila Kombe

Arsenal wametwaa kombe la FA baada ya kukaa miaka tisa bila kombe lolote. Wametwaa ndoo hiyo kwa kuifunga Hull City bao 3-2 katika muda wa nyongeza baada ya sare ya 2-2 katika muda wa kawaida kwenye Uwanja wa Wembley usiku huu.

Wafungaji Arsenal: Carzola dakika ya 17, Koscielny dakika ya 71 na Ramsey dakika ya 109 wakati ya Hull City yakifungwa na Chester dakika ya 4 na Davies dakika ya 8.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Charles Byalale Byebalilo18 May 2014 at 10:09

    OYEEEEEEEEH ARSENAL, WALE WOTE WALIOKUWA MMEHAMA KWA KUKOSA MAKOMBE KARIBUNI TENA< TUMERUDI CHEZEA ARSENALI WEWE.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad