Aunt Ezekiel Akumbuka Kipigo Alichopewa na Marehemu Adamu Kuambiana

WAKATI staa wa muvi za Kibongo, Adam Kuambiana akizikwa jana jijini Dar es Salaam, msanii mwenzake Aunt Ezekiel amekumbuka kipigo alichoangushiwa na Kuambiana yeye na Wema, wiki chache zilizopita.

Akiteta na kona hii, jana jijini Dar, Aunt alisema: “Nakumbuka hiyo siku, tulikuwa location, Mikocheni mimi, Wema, Martin Kadinda na wasanii wengine tukirekodi filamu ya Wema. Kuna kitu tulikosea, Kuambiana akatupiga mimi na Wema.

“Alikuwa makini sana na kazi yake, hakupenda mzaha unapofika muda wa kazi. Nikikumbuka ile siku huwa namkumbuka sana Kuambiana kwa kweli. Mungu ampumzishe kwa amani.”

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. aunt kama ujaukwaa sijui..maana unabadilika kila kukicha...

    ReplyDelete
  2. aukwae mara ngapi kwa umalaya alionao?na madem wa bongo movie ndo wanaongoza kwa umalaya.......

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad