B-Dozen mchokozi eti amuuliza Ommy Dimpoz kuhusu viatu vyake kama ni vya kike au kiume?

Kwenye mtandao wa twitter, mtangazaji wa Clouds FM Hamisi Mandi au wengi tukimfahamu kama B12 "B-Dozen" amemuuliza swali la kizushi Ommy dimpoz kuhusu viatu vyake alivyo vaa..

nahiki ndicho alichoandika... B12 nakuweka picha ya viatu hivyo..

"Hivi ndo Viatu Vya dimpoz, si kwa ubaya tunaomba ufafanuzi ni Vya kike au kiume?"

We unaonaje Msomaji?

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. usimzingue ommy bwana simple za kiume hizo b dozen uko dunia gani?

    ReplyDelete
  2. Na hiyo tite inakuwaje

    ReplyDelete
  3. Dah hivi viatu huku dubai ni dirham 20 sawa na elfu 8 ya bongo mamamamammae tena wanavaa wahindi

    ReplyDelete
  4. Tanzania mabadiliko ni ndoto,wananchi wataendelea kuibiwa,sana,kwa kuwa wamekubali yote haswa maskini ,na utamaduni wetu kuuacha hichi ndio kifo kingine,wanasheria,na wasomi wengine ndio wataiokoa nchi yetu.

    ReplyDelete
  5. haya...................................

    ReplyDelete
  6. muulize kwanza domo kile kisket au siku hizi kuna sket za kiume?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad