Baby Madaha Aumbuka...Aonekana ni Muongo wa Kutupwa

STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ambaye aliwahi kutangaza kuacha fani ya maigizo na muziki amejikuta akiumbuka kwa mashabiki wake kutokana na kuendelea kukomaa katika gemu kwa kuachia kazi mpya na kuandaa matamasha mbali mbali.
Msanii huyo alitoa uamuzi huo kwa madai kuwa alichoshwa na skendo za kila kukicha ambazo wakati mwingine zimekuwa zikimshushia hadhi katika jamii, ikiwemo skendo ya kunaswa kwenye mtego wa kujiuza ilioandliwa na Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ ya Global.

Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Baby Madaha alisema hawezi kupinga kama alizungumza hayo isipokuwa tangu atoe kauli hiyo amejikuta akizidi kupata mafanikio makubwa katika muziki.

“Naweza kusema nimeumbuka kwa kile nilichoongea, maana nimejikuta nashindwa kutekeleza nilichowaambia mashabiki wangu sababu dili zinakuja, siwezi kuziacha,” alisema Baby.

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyo malaya tu,tushamzoea

    ReplyDelete
  2. umalaya unao wewe 1st comenta akili mgando mpaka matakonk

    ReplyDelete
  3. Mmmmmm nimekuja kusoma coments zenu

    ReplyDelete
  4. Hili nalo miss misifa kazi kuvaa uchi tu

    ReplyDelete
  5. wewe anonymous wa 2:56 unamtetea huyo pongo unamjua au na wewe ni m1 ya wa2 mnaofirwa kwa hela kama huyo baby mkundu

    ReplyDelete
  6. Hana mvuto,anatafuta kik tu mfyxxxx!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad