Balozi wa Togo nchini Gabon amefariki akiwa na kimada kwenye ajali ya gari. Inasemekana marehemu hao walikuwa wameenda 'Club' kujistarehesha kisha wakati wa kurudi gari walilokuwa wakiendesha likapata ajali ya kuingia baharini.
Zaidi soma hapa chini Kwa Kidungu..lol
Apparently, the 2 were said to have gone to the night club for a helluva time together, and on coming back from the night of fun, the married Ambassador & girlfriend apparently drove into the sea. A communique from the dead ambassador’s country after his untimely death read as follows:
“the Ambassador of Togo to Gabon was found this morning drowned in his car with his girlfriend. The Department, on behalf of the head of State and Government, presents its sincere condolences to the bereaved family and reassures them that all arrangements will be made to know the exact circumstances of the death of the diplomat and repatriate the body to Lomé as soon as possible”.
Source:liveofofo
Balozi wa Togo Nchini Gabon Amefariki Akiwa na Kimada Kwenye Ajali ya Gari Wakitoka Club
13
May 20, 2014
Tags
Kwa hiyo mmeamua kututafsiria uongo? Ni balozi wa Togo_Nigeria au Togo -Gabon?
ReplyDeleteBongo waandishi wengi shule za kata kaka.
DeleteHata siyo waandishi, ni wanganga njaa wanaoiga matumizi ya Internet, huyu alitakiwa awe na Facebook page na siyo website . Uwezo wake ni sawa na Nape Nauye....
DeleteHata siyo waandishi, ni wanganga njaa wanaoiga matumizi ya Internet, huyu alitakiwa awe na Facebook page na siyo website . Uwezo wake ni sawa na Nape Nauye....
DeleteHujaelewa nini c anaiwakilisha Togo akiwa Nigeria sasa kipi cha ajabu.pole yake maskini
ReplyDeleteinasikitisha sana
ReplyDeleteKumbe mburula tu.
ReplyDeleteNaona Gabon ukiitafsiri kiswahili inakua Nigeria
ReplyDeletehahahaaa u realy made my day mdau
ReplyDeletetoo bad, cha ajabu wengine mnaanza kuponda kingereza cha watu wabongo bwana. Glory
ReplyDeleteha !
ReplyDeletedah wadau mnanivunja mbavu..kiukweli huyu mwandishi ni bonge la kilaza....ambassador of Togo To Gabon (balozi wa Togo nchini Gabon) yeye anasema eti balozi wa Togo nchini Nigeria....dah kwa vile ni ya udaku basi mnapotosha kila kitu hadi Geography? shenzi type!!!
ReplyDeleteSIO KOSA LAKE NI MFUMO, MULUNGO ALIWAHI KUSEMA ZIMBABWE NA TANGANYIKA ZILIUNGANA MWAKA SITINI NA NNE NA KUUNDA TANGANYIKA
ReplyDelete