Bila Upendeleo, Mabinti Toka Mkoa gani Tanzania Wanaongoza Kuwa na Sura Nzuri?

Bila upendeleo, mabinti toka mkoa gani Tanzania wanaongoza kuwa na sura nzuri? Kama Unajua Andika Mkoa huo kwenye Comment
Tags

Post a Comment

64 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Arusha na tabora

    ReplyDelete
  2. Replies
    1. singida wezi wa waume za watu

      Delete
  3. Arusha singida moshi tabora

    ReplyDelete
  4. Sumbawanga Rukwa na Bukoba

    ReplyDelete
  5. nani atasema kwao wanatoka wenye sura mbaya!!!! kila muwamba ngoma ngozi huvutia kwake. wapi mabinti wa mbeya!!!!!

    ReplyDelete
  6. bukoba bwana

    ReplyDelete
  7. weweeee!hapo warembo ni wa kanda ya ziwa victoria wapi wasukuma na wahaya heheheiya

    ReplyDelete
  8. Wote wendawazimu...!

    ReplyDelete
  9. kitu lindi bhanaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  10. Kitu mikoa ya pwani na kusini, Njombe

    ReplyDelete
  11. Mtwara
    tena wale wenye chale!

    ReplyDelete
  12. NKOOILEE SINGIDA

    ReplyDelete
  13. fagilia moshi tumebarikiwa yan mimi sura yangu naikubali

    ReplyDelete
  14. kilimanjaro wachaga ni wazuri

    ReplyDelete
    Replies
    1. no si wachanga ni wapare

      Delete
    2. Wapareee Wako mwaaa namkoa wa Kilimanjaro unaongoza

      Delete
  15. Arusha huko mbulu

    ReplyDelete
    Replies
    1. yeah Arusha mbulu nawakubali sana kama washombe

      Delete
  16. Manyara mbulu ,Singida ,arusha,moshi,ukanda huo ,hakuna ubishi.,ila kwa afrika Tanzania ina warembo usifanye mchezo,ukitoka nje ya mipaka ndio utajua bongo ina jina zuri sana,watu wa west,wanatokata kwa ajili ya east afrika,I love bongo land.

    ReplyDelete
  17. moshi na bkb

    ReplyDelete
  18. moshi na bkb

    ReplyDelete
  19. moshi wa marangu

    ReplyDelete
  20. Weee moshi na arusha bhaasi hakuna mjadala hao wengine wapo kama wanaume

    ReplyDelete
  21. kilimanjaro hasa wapare

    ReplyDelete
    Replies
    1. shinyanga ndo kunawatoto warembo hakuna sehemu nyingine

      Delete
  22. kweli minatokea musoma kwetu sio sana kivile, ila kilimanjaro wapare wapo vizuri sio wachanga

    ReplyDelete
  23. Kigoma kasulu Sofia kwa mzee makris kama mage

    ReplyDelete
  24. arusha . moshi

    ReplyDelete
  25. Inamaana. Tanga hakuna warembo

    ReplyDelete
  26. ivu mnajua wazuri nyiye mmekazania kilimanjaro au ndiyo wengi umu wametokea uko sura zumezubaa na umbo la simba ndiyo uzuri uo

    ReplyDelete
  27. we apo juu utakua umekunywa chang'aa hamna mkoa wenye watoto wazuri kama kilimanjaro wengine wote wanasubiri.

    ReplyDelete
  28. ni kweli sio kama najipendelea,,ila kilmanjaro-chaga tunatisha kwa sura nzuri

    ReplyDelete
    Replies
    1. Chaga baybe zuri bt shepu simba hahahahaha

      Delete
  29. Mmmhh...wachaga hapana...
    Kanda ya Ziwa wapo juu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wahaya tuna mishepu ya maana miguu ndo usiseme

      Delete
    2. watu wengine kama wasenge..umeambiwa sura,,,unasema shepu.miguu ndo nini !hebu kuweni kwanza..sura kama dodoki

      Delete
  30. minaona uzuri upo wa sura hips tako nk, kama ni uzuri wa sura basi kilimanjaro, arusha , manyara, singida na kondoa irangi. kwa miguu, hips na tako musoam, bukoba, mwanza, kigoma na sumbawanga lakini kule wanakokaa watusi!

    ReplyDelete
    Replies
    1. kilimanjaro wana hips wanatoa wapi miguu kama chelewa labda sura tu

      Delete
    2. Mim ni muhaya wa kitusi yan nna sifa zote sura na umbo wahaya wanatisha

      Delete
  31. We! Mtwara kuna mabinti wakali balaaaaa!

    ReplyDelete
  32. ukiacha utani uzuri wa sura arusha,moshi,singida basiiiiii uko kwingine may b shape hao wanaosema wahaya hawaelewi sura na shape ni vitu tofauti

    ReplyDelete
  33. kilimanjaro sura ikiwa nzuri miguu kama spoku, miguu ikiwa mizuri sura kama masudi sura mbaya. ila Manyara nawakubali wale wairak ni funga kazi mtake msitake. moshi ni maumbo ya simba tu kibao

    ReplyDelete
  34. Nzur hela bwana hata uwe na sura mbaya ukikutana na makeup unabadilika hamiwaon wasanii

    ReplyDelete
  35. kote hakuna kitu watoto wapo Musoma na Moro bana.






    ReplyDelete
  36. sijisifii tuliochanganya mikoa ndio wazuri, maana tumebarikiwa, miguu tunayo, hips zipo, sura tunazo, nywele tunazo, ila kuna mikoa wanaumbo la kabati lakini wakipata mchanganyiko na kabila lingine wanatisha kwa uzuri, kitu kutoka tbr na kondoa

    ReplyDelete
  37. Mnasema Kilimanjaro kwa vile wakubwa wameoa huko?

    ReplyDelete
  38. Kitu Kondoa kwa Warangi na Mbulu banaaa hiyo haina ubishi utake usitake.

    ReplyDelete
  39. Wanyamwezi jamani

    ReplyDelete
  40. wote hamna swaga mabint wazur n wa SINGIDA kama hujawah kwenda afadhal usiende mana utakuwa malaya wa kiume, mana kule watoto watoto kwel sio mchezo

    ReplyDelete
  41. wagogo na wamasai

    ReplyDelete
  42. ukitaka kitu lupita nyongo(black beuti) nenda kwa wasukuma,jaruo,masai ,wagogo ni noma yaani kama lupita vile

    ReplyDelete
  43. Singida mwisho wa matatizo.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad