Binti Mrembo wa 1992 Akiri Kuwa na Mahusiano ya Kisagaji na Star wa Bongo Movies

Siwezi kumwacha, nikimwacha ntakufa” ni maneno makali kutoka kwa binti mdogo wa 1992 ambae amekiri kua yuko kwenye mahusiano sasa na binti mwenzake.
Chanzo cha habari kutoka ndani ya familia ya binti huyu (ambae jina tunalo) mkazi wa Arusha kinasema kua amekua akiaga nyumbani anakuja Dar Es Salaam kwa dada yake na kumbe anaishia kuwekwa kinyumba na msanii maarufu wa bongo movie ambae ameshutumiwa mara kadhaa na vyombo vya habari kua ni msagaji lakini hupinga swala hilo kwa macho makavu yasiyo na aibu.

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Atakua wolper huyuu au kajala ndo tabia zao

    ReplyDelete
  2. mmmh hatar kumbe wasagaji wapo apa bongo dunia unakimbilia mwisho

    ReplyDelete
  3. NANI HUYO TUMJUEE

    ReplyDelete
  4. Mtajeni basi tumjue

    ReplyDelete
  5. c mumtaje tu... Lol

    ReplyDelete
  6. Wolper. Hizi habari hukutowa instagram maana aliwekwa na usipojipangantskupsnga

    ReplyDelete
  7. huyo mtoto gani wa 1992 ..nyamafu ni jitu zima na linajua linachofanya.

    ReplyDelete
  8. j2 kubwa mnaxema bnt kuwen makn na kaul zenu. J2 linatambua lifanyacho mnaita bnt wakat kazd miaka 18

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad