One person dead and several others injured after two  explosions hit two buses along Thika road. The explosions occurred in different buses that had left town heading to Githurai. The first explosion happened outside Homeland Inn and the second at Thika Road Mall roundabout.
Breaking News:Mabasi Mawili Yalipuliwa Mabomu Nairobi
5
May 04, 2014
Tags
Watu wa kenya poleni sana,huo ni ugaidi unaoendelea nchini mwenu serikali ichukue jukumu kutokomeza hali hiyo watu wataisha jamani
ReplyDeletehao lazima ni wasomali tu...wafukuzwe wote
ReplyDeletekama unadhani wasomali wakifukuzwa ndo ugaidi utaisha pole sana ww kibua
ReplyDeleteMijitu inaua kisingizio cha dini!eti tunapigania uislam yaan hii yote ni kuuchafua uislam tu na kumtukuza shetan na mambo yake mabaya!shetani ananjia nyingi sana za kumshawishi mwanadamu dhaifu bila ya yeye kujua.Mwenyeenzi mungu hakutufundisha kulipiza kisasi bali alitufundisha upendo na kumcha yy tu!hao alshabab ni mpango wa shetani kama ulivyo mpango wa freemason sasa kwakuwa wanadamu shetani ametuzid upeo ndio tunashindwa kuelewa na kufahamu ni mpaka pale unapochomwa kwenye moto wa jehanam ndio utakapojua kuwa ulikuwa ni mpango wa shetan.muislam safi ni yule mwenye utu kwa binaadam mwenzie mwenye kusamehe na kumwachia mola ndie ahukumu na kuua ni dhambi.waalaniwe mashetan alshabab kwa kuuchafua uislam na mafundisho yake amina.
ReplyDeleteMdau umemalize yooote, ubarikiwe sn
Delete