BREAKING: Taarifa ya Polisi kuhusu bomu lililolipuka Mwanza.

Usiku wa April 13 2014 lililipuka bomu kwenye baa moja Mianzini Arusha na kujeruhi zaidi ya watu 15 wengi wao wakiwa wanatazama mpira ambapo mpaka sasa haijajulikana ni nani alihusika.
Usiku wa May 5 2014 yani jana saa mbili na dakika 20 umetokea mlipuko mwingine ndani ya kanisa la KKKT Makongoro wilayani Ilemela Mwanza  ambao umethibitishwa na Polisi.

Polisi imethibitisha kwamba uchunguzi wa awali umeonyesha bomu hilo ni la kienyeji na baada ya kulipuka limemuathiri mtu mmoja aitwae Bernadetha Alfred kabila Mnyaturu mwenye umri wa miaka 25 ambae kwa sasa anatibiwa kwenye hospitali ya Bugando.
Jeshi la polisi pamoja na vyombo vingine vya usalama bado wanaendelea kuchunguza hili tukio manake hata aliefanya shambulio hili pia bado hajajulikana.

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hawa poli-ccm si lolote si chochote,ni rahisi kwao kutabiri taarifa wanazoziita za kiinteligensia yanapotokea mkusanyiko wa Chadema au UKAWA,lakini mabomu,ujambazi,ufisadi polisi ni mbendembende!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hao poli ccm wana tofauti gani na interehamwe,janjaweed,boko haram na polisi wa makaburu?

      Delete
    2. Hawana tofauti kabisa, intelligencia yao ni kwenye mikutano ya vyama vya upinzani tu. Tuombe Mungu huku bongo kusiwe na al shabab ama sivyo tutakuwa na hali mbaya maana polisi wenyewe ndo hao wenye inteligensia pasipo na intelligence...

      Delete
  2. Huuuuuu kumbe no poli-ccm!!!

    ReplyDelete
  3. Binafsi sina imani na jeshi la police. Bora mgambo nitawafagilia ila si polisi wa tz

    ReplyDelete
  4. poli-ccm ni ma k tu awana ata vitendea kazi cheki wenzao jwtz full vitendea kazi.

    ReplyDelete
  5. Bora jeshi wapewe kazi yakuwaongoza hawa poli-ccm na si vingnevyo 2taisha yakifika uku dar kwenye madaladala ndo bas tenaaaaaaa.

    ReplyDelete
  6. kuma za mama zenu nyoote hapo juu mnaoliponda jeshi la polisi wakati ukiguswa kidogo tu ushakimbiza kuma lako na pumbu zako kushtaki polisi matako nyie pelekeni basi misukure ya babu/bibi zenu ikawa mipolisi ! maovu mtende nyie halafu mlaumu wenzenu nyambafuuuuuuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Afande punguza Matusi.

      Delete
    2. Boya wewe na mitusi yako ya kishenzi kwan ni uongo?poli ccm njaa tu rushwa ndio mmeweka mbele kituoni kama huna hela hawakusaidii nan asiye jua au wewe hulifaham hilo?kazi ni kuonea walala hoi tu!leo mkisikia kuna vyama vya upinzan wanahutubia mahali ndio kujifanya kiherehere lakin matukio mengine wala!mnajipendekeza kwa mafisadi na huku mnanyonywa njaa tupu shwain kabisa.

      Delete
  7. We afande falaa kwani uongo nyie mapolisi ya bongo machoko tu mna tofauti gani na mashoga hamuwezi kitu,rushwaa tu.

    ReplyDelete
  8. Hawa mapoli-ccm ni legelege wengi wana vitambi vinaning'nia na wanatembea wanaburuza miguu utafikiri wamejinyea.Siwapendi hata kidogo,nimeachaa razi uzao wangu no poli-ccm!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad