CHADEMA Mnaogopa nini kuweka Hotuba ya Wenje kwenye Mtandao Wenu?

Wadau, kama tunavyojua Waziri Kivuli wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Ezekiel Wenje aliwasilisha Maoni ya Kambi ya Upinzani. Miongoni mwa hoja alizozitoa Wenje jana ni kuishutumu Tanzania kuingilia mambo ya ndani ya Rwanda na kuilalamikia Tanzania kwa kitendo chake cha kupeleka majeshi nchini DRC kuwaondoa waasi wa M23, hotuba ambayo imelalamikiwa na kulaaniwa kila kona ya nchi hii na nje ya nchi. Baada ya hotuba hiyo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe aliongea kwa ukali na kuwatahadhalisha Watanzania kutokana na uchochezi unaofanywa na Wenje. Pia Membe alilaani kitendo cha Wenje kuwa msemaji wa Serikali ya Rwanda ndani ya Bunge la Tanzania hali ambayo ameiita ni usaliti mkubwa.

Tumesikia pia utetezi wa Mwenyekiti wa CHADEMA na UKAWA, FREEMAN MBOWE akisema kuwa alichowasilisha Wenje ni Maoni ya Kambi ya Upinzani na kwa hali hiyo yalipata baraka kutoka kwa viongozi wa Kambi hiyo. Baada ya majibu hayo ya Mbowe, nilitegemea kuwa kama kawaida yao wataweka hotuba hiyo kwenye Mtandao wao wa www.chademablog.blogspot.com. Hata hivyo, mpaka sasa hawajaweka hotuba hiyo huku wananchi wengi wakitaabika kuitafuta bila ya mafanikio. Kutokana na hali hiyo nimelazimika kuwauliza CHADEMA, kama mnasema kuwa alichowasilisha Wenje ni maoni ya Upinzani, mbona mnagwaya kuyaweka kwenye mtandao wenu?
JF
Tags

Post a Comment

26 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. chadema tia maji tia maji

    ReplyDelete
  2. yaan ndo 2jue hawa jamaa hawafai kabxa kushka dola watauza nch hi maana wao kila k2 siaxa 2 pumbavu

    ReplyDelete
  3. wewe ndio mpumbafu tena nimkudu mshamba wewe

    ReplyDelete
  4. Warudishe wanajeshi wetu waliokufa kwenye vita isiyotuhusu basi.ukweli ni kwamba serikali ya Tanzania ilidandia gari kwa mbele kwa kutaka sifa zisizo za msingi kwa Kikwete.matokeo yake tumeongeza maadui bila sababu yeyote.Wenje alisema ukweli mtupu ambao ulikuwa unaogopwa kusemwa na mtu mwingine.serikali ituambie ni gharama kiasi gani imetumia pale congo wakati watanzania wanakula mlo 1 kwa siku

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe peke yako ndo mwenye akili timamu kumbe. Humu ndani watu ni mashabiki vita isiyotuhusu. Kama swala ni wakimbizi, mbona hawajaenda Somalia kupigana ili Somalia ipate amani na wakimbizi wa kisomali waliojaa kariako na kigamboni warudi kwao?

      Delete
    2. Wewe peke yako ndo mwenye akili timamu kumbe. Humu ndani watu ni mashabiki vita isiyotuhusu. Kama swala ni wakimbizi, mbona hawajaenda Somalia kupigana ili Somalia ipate amani na wakimbizi wa kisomali waliojaa kariako na kigamboni warudi kwao?

      Delete
  5. waambiwe ukweli hao wanapenda kushabikia ugomvi si wao.na watuangalie kwanza cc watanzania nn tunataka halafu ndio watumie pesa kwa upumbavu kama huo.pambavuuu zaoo

    ReplyDelete
  6. tatizo lao serikali ya tanzania inapenda sana sifa kushabikia magomvi yasowahusu.tusaidieni kwanza cc watanzania mbona tuna kufa njaa au hamuoni ...........

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kazi hufanyi unataka serikali ikusaidie na njaa yako,kufa kwani c unajitakia mwenyewe

      Delete
  7. Tanzania uzalendo umekwisha kabisaaa,tukiingia vitani na Rwanda watatupiga mpaka mtaa kwa mtaa,nyumba kwa nyumba,shuka kwa shuka!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe bwege hujui usemalo

      Delete
  8. chadema hamna chama hapo bange m2

    ReplyDelete
  9. huyo msenge jimboni kwake machinga wanaangamia ye kaenda kununua kesi ya wa2 wengine?

    ReplyDelete
  10. kumbe ukawa ndoa ya ukawa noma sana na m23 wamejiunga

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kumamao usiongee tuu kaa kimya kama una lakuongea mbwa wewe au kibaraka wa ccm wanakufila ndoa hiyo ukawa na m23 wote wamemuoa mama yako au

      Delete
  11. na pgnya road waliokamatwa ni tawi cdm

    ReplyDelete
  12. Siku zote kweli inauma, ndio maana waziri wa ccm alikuja juu.

    ReplyDelete
  13. Nyinyi wasenge na masikini wakubwa mnaotetea selikari ya mafisadi hamjiulizi mambo makuu ya msingi katika kila binaadamu anahitajika kuwa nayo kama afya bora mahospitalin vyakula malazi yenu mnauhakika wa kula milo mingapi lwa siku na ya kujenga mwili sio bora kujaza matumbo ndio mngepeleka majeshi yenu huko baada ya kuwa hali zenu nyumbani ni salama!inatia hasira kuona hospitali kubwa kama muhimbili haina kifaa cha uttra sound nawakati hospital binafsi wanazo sasa leo hii kupeleka majeshi ili hali nchi yenyewe bado inategemea misaada kutoka ulaya ili tuweze kuendesha nchi.marekani wao wakienda kupigana sehemu huwa wanarudi nyumbani na faida sasa nyinyi mmerudi kwenu na nini zaidi ya asante tu kumanyoko zenu.Ndio maana mtaendelea kubaki maskini kutokana na maviongozi vichwa fafu.

    ReplyDelete
  14. Mnabishana nilifikiri mnajua. Nchi yako no mwanachama Wa UN I yo inapobidi lazma upereke jeshi hii wewe utakuja kuomba msaada kama huo. Lakini kwa kua tunapenda ushabiki usio na maana ayaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tatizo watz wengi waropokaji na sio wajuaji hawaelewi kwanini jeshi liko kongo ila wao wanachojuA kuropoka ili mrado tu apost pumba zake

      Delete
    2. If that is the case tupelekeni jeshi na somalia basi kutuliza amani,kama ya kenya hayatahamia Dsm.

      Delete
    3. kama ni mwanachama wa UN mbona hampeleki somalia?kupeleka majeshi sio lazima fala wewe unajifanya unajuuuua kumbe kichwa dafu tu.

      Delete
  15. Udaku......huo mpaka bungeni kupitia CHADEMA, Wenje alijisahau kama yuko Bungeni na kuwasilisha hoja kwa mtindo wa kijiweni ambako huwa tunamshangilia sana bila kujua kuwa ni mchonganishi.Hasante Membe kwa kufumbua macho dhidi ya SIASA ZA MAJI TAKA ZA MAWAZIRI VIVURI VIFUPI.

    ReplyDelete
    Replies
    1. hivi kweli pamoja na kuibiwa koote na viongozi mafisadi wanaojilimbikizia mali bado tu mnawasapoti?kweli nimeamini akili za watanzania ziko katika maajabu 10 ya dunia.

      Delete
  16. Ww hapo juu msenge unafirwa, na uwezo wako wa kufikir ni mdogo sana pambafuuuuu weeeeeee

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad