CHADEMA, Wakati Umefika wa Kuwasamehe Zitto na Wezake

CHADEMA sasa inapaswa kupitia upya na kufanya masahihisho. kwa maamuzi yote magumu yaliyo wahi kuchukuliwa na vikao vya chama hasa KAMATI KUU.kwakuwa imeweza kutengua msimamo wake na kuvunja serikali kivuli bungeni na kuunda serikali ya pamoja inayo wakilisha upinzani bungeni na kuvishirikisha,vyama vya NCCR na CUF.umefika wakati sasa kupitia upya yale maamuzi magumu na kuwa samehe na kuwa rudisha akina zito kabwe,dr kitilia mkumbo na samson mwigamba katka chama.kuwarudisha akina mtela mwampamba,juriana shonza na habibu mchange. haiingii akilini kama unaweza shirikiana na CCM (B) Kwa undani eti ushinde kushirikiana na alie itwa anatumika na CCM. MBOWE,SI LAA NA WAJUMBE WOTE WA KAMATI KUU kwa pamoja au kwa kila mmoja kwa wakati wake amuweni kuruhusu fikira hii mpya kwenu.huku mkitafakali faida na hasala ktk hili.
By Ally makwilo.
Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Watafakari na kuamua mambo vinginevyo watajutia kwa maamuzi mazito

    ReplyDelete
  2. Lipi bora kuwa na pengo mdomoni au kubakiza jino bovu linalokunyima usingizi na hatimaye kukusababishia cancer? Kama Bwana Yesu hakuweza kumsamehe Yuda Iskariote aliyemsaliti,itakuwaje rahisi kwa Chadema kuwasamehe kiulaini wasaliti wake kina Zitto,dr kitilla,shonza na hata huyu msaliti wa chadema aliyemaliza vyama kwa kuhamahama na 'njaa kali' mr. ally makwillo aliyetoa wazo hili la kinafiki?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Msiba mzito umewafika wasaliti hawa wa chadema ambao walitegemea ccm itawabeba kwa kuwapa pesa kuivuruga chadema lakini ccm yenyewe ndio hiyo nayo inaomboleza kilio kilichosababishwa na UKAWA.CCM kama kawaida yake ikishakutumia inakutosa jumla.Kina Masumbuko Lamwai,Akwilombe,Fatma Maghimbi,Jidawi,Salum Msabaha,Juliana Shonza,walid kaborou,Jidulamambasi,Malow,Ally Makwilo,Tambwe hiza wako wapi???

      Delete
  3. Mdau hapo juu kweli tupu!! Hao uliowataja hapo juu wote ccm imewatupilia mbali,hao ndio magamba bana!

    ReplyDelete
  4. Naikubali sana chadema! Kihelehele utaniuliza ila sina jb kama mjomba alivyosema ameahirisha safari na hataki kuulizwa kwann kama nauli zenu chukueni!! Chadema up, up, up moreeeeeee......

    ReplyDelete
  5. chadema ilikua zamani sio sasa

    ReplyDelete
  6. Hata ngawaiya yuko wapi

    ReplyDelete
  7. Chadema mmefanya vzuri ila kuna watu mnawachelewesha. Kama john shibuda mko naye wanini angali yeye ndo mpeleka taarifa ccm?

    ReplyDelete
  8. yani hawa wachaga wamesha poteza muelekeo.

    ReplyDelete
  9. jamani wachaga msituharibie nchi na chadema yenu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad