Diamond Mpaka Sasa Anaongoza Kwa Kura BET Awards..Piga Kura Hapa Sasa Hivi

Ni siku chache tu zilizopita toka Diamond Platnumz ametangazwa kuwania tuzo za kituo cha Television cha Marekani BET akiwa ni msanii pekee kutoka Afrika Mashariki kuchaguliwa kuwania tuzo hiyo huku wengine wakitoka Nigeria, Ghana na Togo. (Best International Act: Africa )
Good news ni kwamba katika mchakato wa kura sasa hivi Diamond ameshika nafasi ya Kwanza katika list ya Wasanii wote sita ambapo kama Watanzania wataendelea kumpigia kura kwa kasi na kumzungumzia kwenye mitandao ya kijamii basi anaweza Kushinda Tuzo Hiyo..

Msimamo Upo Hivi Kwa Sasa 

Ukitaka Kumuongezea Kura Diamond Basi na wewe Piga Kura Hapa: Bonyeza <<BET>>

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Thanx admin for dis coz nlitamani kumpigia but ckujua how... Though huyu bro tisha sanaaaaa....!

    ReplyDelete
  2. namkubali sanaa... Iyo tuzo lzm aichukue tunapiga kura jaman tucmuangushe uyu dogo

    ReplyDelete
  3. Nyooo kwa mafikizolo hachomoi ngooo wazungu hawalogeki hii sio killiaward nyau nyie

    ReplyDelete
  4. we mdau hapo juu huna uzalendo kbs, hata kama humpemd diamond bora ungepiga kimya, kwan kil aliroga au ni uwezo wake. ucwe mvivu wa kufikir.

    ReplyDelete
  5. Hii mijitu mingine si ndio mikuma kila kitu unawaza uchawi yaani jitu linakuwa na uvivu wa kufikiri kama kondoo?mitanzania mingine bwana na hii ndio inayopewaga tshirt na pilau kwenye uchaguzi kuma kibuyu.

    ReplyDelete
  6. Tz stand up,itz all abt Diamond

    ReplyDelete
  7. Yaan ww ni mchaw live mafikzollo ndo nani?we stand up for our country mshamba ww not diamond me mwenyewe co fan wake kivile lkn nimempigia kura na nitazid kumpigia.tanzania owyeeeeeeeeee!!!

    ReplyDelete
  8. ni chizi huyooo jamani mwacheni, hn uzalendo ht kidogo, ndo wenye roho mbaya na ck zote huwa hawafanikiwi.


    ReplyDelete
  9. YES to you diamond

    ReplyDelete
  10. How many times can i vote?

    ReplyDelete
  11. Many times as u can'more an more

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad