Diamond Platnumz Aendelea Kuwagalagaza Wasanii wa Afrika Kwenye Nominations za Kora

Pamoja na kwamba tuzo za Kora hazina tena ‘kiki’ kama zamani, Diamond Platnumz ameendelea kuwagalaza wasanii wa Afrika kwakuwa jina lake ndilo limekuwa likitajwa zaidi na mashabiki kwenye akaunti ya Facebook ya tuzo hizo...Click <HAPA>Kuona Page hiyo

Katika wiki ya ya 17 tangu watu waanze kutaja majina ya wasanii wa Afrika, Diamond ameendelea kuongoza na kuwaacha mbali wasanii wakubwa wakiwemo Koffie Olomide, Sarkodie, Fally Ipupa, Werason na wengine.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. demu mbaya ....simpendi..sura kama uchi wa,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Duh dunia kweli wa wili wa wil demu kafanana na wema huyu duh yaan vile vile!

      Delete
  2. Wa wema. Kwi kwi kwi kwani kakwambia yeye anakupenda?

    ReplyDelete
  3. wema awe mzuri hivyo aringe????????

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad