Diamond: Wimbo Wangu Mpya Haujatoka Rasmi Kuna Mtu Kauiba na Kuuweka Mtandaoni

"Moja ya nyimbo zangu ambazo ziko store hazija toka nimeikuta mtandaoni na sijui imefikaje, tena ikiwa kwenye mfumo wa Voicenote, yaani haina quality kabisaa... Tafadhari, kwa yoyote atakaeipata Asiitumie kwenye media ama hadhara, kwasababu Haijatoka na haiko Qualified" Diamond

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. luv the song big up diamond napenda sana kazi zako god bless you uko juu!muonyeshe mganga kuwa ww ni zaidi ya dawa zake acha movie iendelee

    ReplyDelete
  2. Diamond, jitahidi uwe unazungumza au kuandika maneno sahihi. Hapo juu umetamka "tafadhari" badala ya "tafadhali" . Mwimbo wako wa "Mbagala" ulitamka "Mbagara". Ingefaa urudi shule tena

    ReplyDelete
    Replies
    1. We jamaa unajielewa kweli yy ndio kapost hii post au admin sasa inakiwaje yy ndio kakosea think before reaction boya ww

      Delete
  3. Mkuki akirudishiwa binaadamu huwa mchungu,Ww diamond unavujishiwa nyimbo ikawa ww mwenyewe unaiba zawenzako so bora nn?

    ReplyDelete
  4. kwa level ambayo upo sasa unatakiwa uumize kichwa ije iwe zaid ya hapo. sasa hi ngoma bora ka vujisha mshukulu. sasa hi ngoma unaimba mchiliku tena we jamaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad