Diva Loveness Presha Presha..Atupia Picha Anakiss na Mvulana Mwingine...GK Presha Juu

Penzi la mastaa wetu wa bongo, Diva ambaye ni mtangazaji wa Clouds FM na King Crazy GK ambaye ni msanii wa bongo flava, Limeingia kwenye mtego baada ya Diva kuweka PICHA kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM akiwa ana KISS na mfanyakazi mwenzake a k a Handsome wa Cloudsfm....PATAMU HAPO...Kwa kuelewa kuwa picha hii ni tata, Diva aliandika maneno haya jini ya picha hiyo; 
"handsome boy wa cloudsfm ... My baby akiona hii Picha je? unahisi atakasirika au?! lol"
...Tunasubiri kusikia upande wa GK.......Dah!! ila huyu mdada PRESHAPRESHA

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. chezea diva utaisoma namba

    ReplyDelete
  2. Hana mshiko sura mbayashepu hamna khaa

    ReplyDelete
  3. analazimisha umaarufu, dada umejishushia heshima toka umeanza kupanga w.ume.....

    ReplyDelete
  4. Hayo mapenzi wanayajua wao, huyu diva ni nyoko.

    ReplyDelete
  5. ushamba tu huo utafikiri wameyajua mapenzi zuzi. oo

    ReplyDelete
  6. Dva nlimuona mjanja kumbe chnga wa madongo kuinama

    ReplyDelete
  7. diva hamnazo unaishusha hadhi na clouds, ina watangazaji wa kike wanaojiheshim

    ReplyDelete
  8. Diva ma sister, ushapoteza muelekeo,,,, jipangeeeeee mama.!!

    ReplyDelete
  9. Kidemu chenyewe kinaonekana tu kinamajungu!! Kinajidai kiko poa wakati hakina uzuri wowote na hicho kiwigi kama mbwa ameugua ugonjwa wa kujikuna we nae GK ni rapa wa mda mref hadi leo unakosa dem mpaka unakwenda kuchukua brunet!!

    ReplyDelete
  10. Changdoa huyu.

    ReplyDelete
  11. Kama ni mimi siwezi kuku bali

    ReplyDelete
  12. WAHAYA wanaongoza kwaa.., kwaa...,, kwaa....Hahaaaaaaaaaaaaa MWANAWANEE!!Dumisha MILA YENU

    ReplyDelete
  13. Shame on you,Diva!

    ReplyDelete
  14. MI NAONA KAMA NI MWANAMKE MWENZAKE JAMAN EMBU ANGALIEN VIZURI

    ReplyDelete
  15. Hajakutana na konga halisi huyo ndio maana anaruka Tu na njia

    ReplyDelete
  16. Kwavile ni Mhaya anafanana kabisa na dada mmoja ness wa moshi anaishi maeneo ya himo aitwae Jovita K,yaani anagawa uroda kama njugu kwa mafundi wa jengo moja maarufu linalojengwa moshi mjini.Mwenyewe anasema eti ni mila yao kutoa sana ile k ili wasiweze kuwa wagumba!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad