Diva wa Clouds FM Awashukia Wote Wanao Sema Anajipendekeza kwa Wema Sepetu

Diva ameandika katika page yake instagram kama ifuatavyo:
Kuna Mtu Amenitusi na team zao sijui nini na nini... So umeniita Kibaraka wa @wemasepetu ryt?! very good .. ndio mie kibaraka wake kwani do you have Problem with that ?! come on now .... i love her and yes she is my girl and ndio mie kibaraka wake.. mitusi na kumtusi my baby unapoteza muda coz yes i love my baby hata kama unahisi sio type yangu but humjui .. ushaenda bank kuangalia salio lake?

uyo mbunge si umfuate wewe kama unamtaka? my life my rulz nachagua nani niwe nae nani simtaki.. uyo unamuona hanifai mwenzio ndio sili silali sababu yake.... yaan dats my future husband... afu wema ndio my girl sasa na nitamtetea daily nikiona mnamkosea....afu ka hujui ushajijua wewe ulienitukana kurasa na kuingilia hadi familia yangu uso na adabu unaetafuta followers kinguvu... i am team @wemasepetu for life and speaking of my baby well ..... nitakua nae ndio wangu tena Mpaka kifo kitakapotutenganisha... asa kip on hating kwenye level uliopitiliza uone kama nitakufa for that .. grow the f  up and respect my pops next time.. Diva this Diva dat hamchoki?! i live my life to the fullest .. stress for who for what?! mniache

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. we nae mbaya pu bu zako .....wema she hottest girl sasa untaka kick..wema awezi kukunyonya kuma..pumbavu mkubwa sijui unawashwaga kichwani kunafunza,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huwezi jibu a desecent comment bila kutoa matusi. Huogopi ukifa whatever u did hapa duniani utaonyeshwa video yako na Mwenyezi Mungu. Hivi pia huoni mtu hakujuwi humjuwi kujiumiza vidole vyako kuandika mbovu . Yaonyesha huna imani ya dini katika nafsi yako ndio matusi tu siku zote unapo comment. Badilika

      Delete
  2. diva ujielew kwanin ucwe kimya kama watangazaji wenzio wa clouds, unajishushia heshima ww kama presenter unaanza kua na team instagram za nini, jipange diva ulipo uko cko..

    ReplyDelete
  3. kumbe huyu ndiyo wale timu tunaowatafuta wanaotukana watu mtandaono sasa bi shost umejitaja ww mwenyewe jipange lzm utajua mbivu mbichi

    ReplyDelete
  4. jimama zima eti team fulani for wat, bora umejitaja sasa utachambwaje hahahaaaaa

    ReplyDelete
  5. Feeling xo xowry to my girl diva iknw ur not that bad

    ReplyDelete
  6. Mtu mwenye akili timamu huwezi kupoteza muda kuwa na timu ni hopless job seekers

    ReplyDelete
  7. Malaya tu Naona virus vinachemka sasa kichwani

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad