Dk. Kitila Mkumbo amejitambulisha rasmi kuwa ni mwanachama wa ACT kupitia Clouds fm leo asubuhi amesema atamshauri Zitto aje kugombea uwenyekiti.
==============
JamiiForums imefanikiwa kumtafuta Dr. Kilila Mkumbo kuthibitisha habari hii. Amekiri kuongena na Clouds FM na kwamba yeye ni Mwanachama wa Alliance for Change and Transparency (ACT).
Source:Jamii Forums
YOTE KUTAKA MADARAKA
ReplyDeleteHaijawahi tokea katika historia ya Tz chama kipya cha siasa kikapewa usajili wa kudumu ndani ya wiki tatu tu kama hii ACT.Kwa kawaida huchukua mwaka mmoja hadi miwili au never ,msajili husingizia hana pesa.Lakini hiki chama cha ACT au CCM-B chini ya wafadhili wake Wassira na Lukuvi ' wanamtumia 'toy boy' wao Zitto for political masturbation wamepigwa bao na UKAWA.
ReplyDeleteCcm wanavuta shuka wakati kumeshakucha, UKAWA ni noma wanachukua nchi .
ReplyDeletehuyo wakumpa nchi ukawa ni nani hivi mnafikiri wananchi wamelala, mtawapa nyinyi wajinga na msiojua dunia inakwenda wapi
DeleteACT imeanzishwa na CCM kwa kumtumia mamluki wao Zitto ili kuiyumbisha Chadema lakini kwa mtu kigeugeu kama zitto ataishia kula pesa zao na kuwatapeli tu keshapauka kisiasa.
ReplyDeletewatakao ingia ACT hawajitambui/ pesa/bendera upepo/ madaraka
ReplyDeleteZitto sio mtu.
ReplyDeleteeti utamwita aje kugombea uwenyekiti inahusu, huyo zito ndo chama chake wewe ni kivuli tu, hata hivyo tushachoka na vyama kila kukicha ikiwa hakikizi matakwa ya wananchi mtuache tupumzike tujue nchi yetu inakwenda wapi kuhusu katiba, mnatujazia mivyama sisi itatusidia nini mafisadi nyie mko kimasilah zaidi na sio kuwatumikia wananchi na kuwapigania wananchi walio walala hoi
ReplyDelete