Dr Mwakyembe"Madereva wa Malori ya Kwenda Nje ya Nchi Wanatutia Aibu wa Tanzania"

Dr Mwakyembe Akiwa njiani kwenda Congo Kufungua Kituo cha Bandari ya Tanzania ambacho kitasaidia Malipo kwa Wafanya Biashara wa Wanaopitishia Mizigo ya Bandari ya Dar es salaam aliweza kuona hali halisi waliyonayo Madereva wa Magari Makubwa ya Mizigo Kutoka Tanzania kwenda nchi zingine, Amehabarisha kuwa Madereva wa Tanzania ni wachafu na wananjaa Sana Kiasi wanatembea na Masufuria na vikombe kwenye Malori yao kwa vile hawana uwezo wa Kununua chakula Mahotelini wakiwa njiani ni Bora wafike mahali Wapike...Amesema hii inatia Aibu Taifa kwani ukikutana na Malori Mengine kutoka nchi zingine ni wasafi na wanaonekana Wamewezeshwa vya kutosha, amesema Madereva wa Tanzania Wamesema wanapewa Hela kidogo ya Kujikimu njiani , Boss anakupa laki tatu hiyo uitumie mwezi mzima ukiwa njiani ni haki Kweli ? Mwakyembe amehaidi kulishughulikia hilo swala 
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. safi sana jembe ila sio uko tu hadi ss mabeki 3 maboc wetu wakisafir wanaacha mkwanja kidogo afu mitoto yao inakula kishenzi

    ReplyDelete
  2. Jamani huyu baba ana wito wa uongozi sio wengine wasiojielewa

    ReplyDelete
  3. Hili ni tatizo kubwa, please the Governement should also set per-diems for transit drivers wanateseka sana. Hii inasababisha kuuza mafuta hata mizigo wanayosafirisha. Posho ya siku iainishwe otherwise wasipewe au wanyang'anywe licence ya usafirishaji maana safety is compulsory

    ReplyDelete
  4. Bongo tunaumizana sana kiukwel mtu anajituma kukufanyia kazi yako vizur lakin bado unambana kiuchumi kiasi kwamba w2 wanafikia kukuibia mali zako kwa sababu ya dharau zako za kishenzi kwani kutomlipa m2 vizur ni moja kubwa sana ya dharau, mzee naomba utusaidie kwa hili tunanyanyaswa sana

    ReplyDelete
  5. Geheri is true
    kutokuwalipa vizuri ni kishawishi cha kuwaibia matajiri

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad