Dr Slaa: 2015 Upinzani Tutamsimamisha Mgombea Mmoja Urais

Akihutubia maelfu ya wakazi wa jiji la arusha mapema jana katika mkutano wa [ukawa]katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo,chadema,dr wilbod slaa, alisema,tumefikia makubaliano kama [ukawa] 2015 kumsimamisha mgombea 1 katika nafasi ya urais,lengo letu sio kutafuta vyeo bali kuwakomboa wananchi watanzania waliopigika na mfumo wa chama cha mapinduzi,nilifarijika sana niliposikia maneno haya kutoka kinywani mwake,maana ndio mwisho wa chama cha mapinduzi umewadia,kimsingi ni kujipanga bara bara kusuka kikosi kazi kitakacho fanya kazi ya ziada kuhakikisha ccm haifurukuti kabisa,bg up [ukawa] pa1tutashinda,

Tags

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. if really unity,it can assure ternament of xxm

    ReplyDelete
  2. Kama kweli mafanikio ya kuitoa Ccm yanaonekana.

    ReplyDelete
  3. Hahahahahahaaaaa

    ReplyDelete
  4. labda muungane na vyama vya dunia yote Ila kwa vya tz pekeee mtasubiri sanaaaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndio mwigulu

      Delete
    2. Kuma la mama yako wewe unayesema watasubiri mkundu kunuka kwanza sio mtanzania ndio maana huna uchungu na nchi hii kuma nyoko.

      Delete
  5. Ikiwa ni kweli,CCM bai bai 2015. Ila umakini wa hali ya juu watakiwa mana nao ma ccm huwa wana mbinu nyingi za kiutapeli na kurubuni wapiga kura kwa vijizawadi feki hususan nyakati za uchaguzi.

    ReplyDelete
  6. kama mtamsimamisha lipumba nitaenda kupiga kura ila hao wengine sipigi kura yangu ipotee bure

    ReplyDelete
  7. lipumba ndo jembe hao wengine wezi season 2 ya ccm

    ReplyDelete
  8. Hata james mbatia anafaa sn. Namkubali mno kwa utendaji yuko makini

    ReplyDelete
  9. Hata james mbatia anafaa sn. Namkubali mno kwa utendaji yuko makini

    ReplyDelete
  10. Tatzo kla mtu anataka kugombea. Haitawezekana

    ReplyDelete
  11. Tuombe mungu tuwwepo wakati WA uchaguzi. Yeye Silas ndio wakwanza kuanzisha mgogoro

    ReplyDelete
  12. Leo ndo mnaliona hili wakati mliwanyima wenzenu ata ka kauwaziri Wa kuchora no Wa kivuri Leo mnatafuta njia ya kutokea. Wote amna uchungu name watz il a mnauchungu PESA. Mkitaka name kama kweli mnauchungu na WTZ mkirudi kwenye KTBA futeni zile posh kila Siku 200mln name zikasaidie vijijini. Katiba itungwe bule na mlale kwenye maema kama vile mpo vitani.Keisha tusmamishe raisi m1.name usiwe Slaa wala lipumba wala mbowe.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe boya unaongea lugha gani hio nyinyi ndio wasomali kuma nina zenu unachangia mambo ya nchi ambayo haikuhusu kuma kibuyu.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad