Familia ni Kila Kitu-Baada ya Ugomvi Beyonce akaenda Kumtembelea Mdogo Wake

Baada ya Ugomvi wa Jay Z na Shemeji Yake Solange kurekodiwa na Kusambaa Mtandaoni kila kona watu mpaka leo wanajadili kuhusu ugomvi huo lakini wenyewe walishayamaliza na kuyasahau kabisa , Siku ya Pili tu Beyonce alikwenda kumtembelea Mdogo wake Kwake na kupiga picha hiyo hapo juu..Family Is Everything Bwana...Nyie kaeni kupiga Domo

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. beyonce anafake smile,, muone solange hana ht raha ni kama kalazimishwa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad