Fid Q "Nilistahili Kushinda Tuzo ya Kill, Kila Mtu Amefurahi Baada ya Kunibania kwa Muda Mrefu"


Msanii Fid Q amehabarisha kuwa kila mtu amefurahi kwa yeye kushinda Tuzo ya Mwana Hip Hop Bora wa Mwaka , Amesema hiyo inajidhihirisha hata kwenye Social Media kila mtu anasifia na kukubali ishindi wake ..Amasema Amebaniwa Miaka Mingi hiyo tuzo na Hatimae ameipata....


Swali:
  • Je huko Nyuma ni Kweli watu walikuwa wanabaniwa Tuzo ?
  • Je Utaratibu Mpya wa Kill Awards kupata washindi ni wa Uwazi zaidi ?

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wanambania kivipi si raia ndo wapiga kura?

    ReplyDelete
  2. ulistahili baby

    ReplyDelete
  3. Fid vp tena jomba na hayo mashati ya kungaa as if umetokea mwezini, tumezoea kumwona nayo mzee yusuph inakuwaje tena kwa wewe mtu wa hip hop wa ukweli unavaa mashati ya kung'aa kiivyo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwa hiyo unataka awe anavaa nguo za chuma?

      Delete
    2. Kwi kwi kwi kwi. Umenichekesha sana mdau

      Delete
  4. Patience pays'

    ReplyDelete
  5. true walikubania sana na kisa pale ile ngoma yako uliyoponda pombe na dini/ tuzo ya rose muhando

    ReplyDelete
  6. Deuteronomist6 May 2014 at 16:47

    yote mema'

    ReplyDelete
  7. Big up sana mjomba nakukubl san hip hop yako ndo ya ukwel wengne waend kuimba taarabu

    ReplyDelete
  8. Br hata kama wakibana br unajua sana, hongera zako

    ReplyDelete
  9. wewe ndo 2pac wa bongo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad