Haiwezekani Nataka Kupima DNA Nimestuka!! Wanangu Hawajafanana na Mimi

Mwenzenu jamani nahisi nmechakachuliwa,nina mke wangu tumezaa watoto wawili mmoja yuko na miaka mitano na wa pili miwili,kati yetu mimi na mke wangu nahisi kuna kitu kinaendelea na nimefanya uchunguzi wa kina na kuishia kwa majibu ambayo hayaniingii aklini na pili vilevile hawa watoto wanafanana exactly na watu ninao wahisi
Nkijaribu kurudisha hisia nyuma naona matukio yanafanana na mke wangu pia alikuwa amejipatia ujauzito kwenye mazingira ya kutatanisha,Huyu wa kwanza anafanana sana na boyfriend wake wa zamani ambaye mimi namjua!kipindi yuko mjamzito nilishawahi kumfuma na meseji kibao za mahapa na njemba hilo!
Huyu wa pili anafanana sana na Babu mmoja hapa mtaani kwetu anashona viatu
Huyu mara nyingi nmeshawahi kumkuta home anajisingizie kuja kuchukua viatu,mbaya zaidi hata huyu mtoto huyu mwwanamke anajitahidi sana kumjengea mazoea nae
Sasa naombeni ushauri jamani mm nifanye nini?
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kapime dna ujue ukweli uko wapi, kwani hiyo ipo maana anae jua watoto wa nani ni mama pekeeee.

    ReplyDelete
  2. Kumbuka DNA haipimwi Kama Malaria ina taratubu zake..peleka swala hili Ustawi wa jamii au Mahakamani kwa Mashaka uliyonayo ..MAJIBU ATAENDA KUPOKELEA HUKO..
    JIPANGE baba...

    ReplyDelete
  3. huyo mwanamke nae tu much and hamful, hivi kaza na boyfriend wake akaona haitoshi kazaa na mshona viatu, basi kesho ataza na houseboy wake unakazi, au kakuona function les nini uamuzi ni wako unataka ushauri wa nini

    ReplyDelete
  4. Kwa nn mna judge bila Ku prove wanaume mngepewa nafasi ya kuzaa co ndo mngezaa hadi na kunguru,ina wauma sn mkiibiwa? We umeshamcheat Mara ngapi?ss wanasema wat goes around comes around

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad