Harusi ya Baby Madaha na Manager Wake Joe Yanukia

MSANII wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha na meneja wake, Joe Kariuki wanatarajia kufunga ndoa Novemba, mwaka huu nchini Kenya jijini Nairobi.

Akizungumza na mapaparazi wetu, Meneja wa Baby Madaha, Joe alithitisha mipango hiyo na akasema sasa wanafanya kazi nyingi za muziki mpaka zifike nyimbo 20 ambapo baada ya kuoana zitaanza kutoka mojamoja kwa muda wa miaka minne.

“Ni kweli tumepanga kuoana, kikubwa ninaandaa nyimbo nyingi ili baada ya ndoa nitasimama muziki na badala yake nitakuwa naachia nyimbo tu,” alisema Baby anayetamba na Wimbo wa Nawaponda.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. We si ulisema hutaki kuolewa? Amekuwaje Sasa? au ndo umeona mtonyo? Acha tamaa ya pesa weweee

    ReplyDelete
  2. .. Pesa ... Ndio kila kitu... Madaha.. Siulisema .. Mpaka ., 2030

    ReplyDelete
  3. Kwan sidilia habadirish

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad