Hata Wema Atembee Peku Posta, Hawezi kumfikia Vanessa Mdee kwa Hili.

Ukiongelea watu maarufu hapa town, ni wazi kwamba Wema ndiye maarufu zaidi kuliko celebrity yeyote yule wa kike hapa bongo, cause kila rika linamjua Wema Sepetu, na haswa vijana wengi wa kike hutokea kumpenda sana Diva huyu, ila tukienda kwa level zakimataifa hapo kidogo ndio utata unapokuja haswa ukilinganisha na presenter maarufu hapa town na mwanamuziki mkali wa Come Over yaani Vanessa Mdee. Haina budi tukubaliane na ukweli kwamba, yuko famous zaidi ki-international zaidi kuliko mtu mwingine anavyodhani kwa mtazamo wa haraka haraka hapa Bongo.

anessa ni moja ya msanii wa kike ambaye mbali tu na umaarufu wake huo kimataifa bali, ana ule muonekano wa ki-star, kitu ambacho ni nadra sana kukipata kwa wasanii wengi hapa Bongo, ila tukirudi kwa Wema Sepetu ambaye ndiye ana-run industry ya watu maarufu hapa Bongo , upande wa wanawake, ukilinganisha na Vanessa Mdee bado jibu utapata kuwa Vanessa ndie anayekimbiza kwa upande wa muonekano wakistar na umaarufu wa kimataifa zaidi ukilinganisha na wa hapa Bongo.Pia kingine cha tofauti kwa Vanessa Mdee kimataifa ni kitando cha Raisi wa Marekani , Barack Obama kum-followVanessa Mdee  kupitia mtandao wa twitter , kitu ambacho kinaonesha kwa kiasi gani Vanessa ni mtu mkubwa kimataifa ukilinganisha Bongo. Hata hivyo bado anaendelea kuja juu kwa hapa Bongo, kwa kuendelea kula dili mbali mbali zitakazo Boost umaarufu wake hapa kwa hapa Bongo, ikiwemo umaarufu anaozidi kupata kupitia muziki wake na dili nyingi za matangazo anazoendelea kupata.

Post a Comment

26 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Anamuonekano gan? Mbona wa wakawaida sana tu:

    ReplyDelete
  2. Duuh,ila kweli,lakini unadhani kwa nini?wema ni limbukeni mno lakini pia na shule inachangia,mmh nataka kusahau hata uzuri Vannesa ni zaidi ya wema bhanaa.

    ReplyDelete
  3. wema anakazi yakumfurahisha Diamond atajulikana saangapi kimataifa?...Vanesa yeye ni mwanamke wakazi...anapiga kazi kwakujituma siyo kuendekeza mapenzi kama Wema!

    ReplyDelete
  4. Hahahahahaha! anony. 3.44.Wema anapenda kazi ya kitandani sana jamani.

    ReplyDelete
  5. Hahahahahaha anony.3.44.wema anapenda kazi ya kitandani sana jamani.anatamani kama kesho apate mtoto na Diamond.

    ReplyDelete
  6. yes Vanesa mdee anajua nn anafanya ata zile kura za BET yeye apa bongo ndiyo ana access ya kumpigia kula dimond kwaiyo wema bado sana kwa vanesa labda kwa mabwana atamshinda maana V ni levo nyingine

    ReplyDelete
  7. wema anawaza uboo na umaarufu usiokua na tija tu saa ngapi atawaza mambo ya kimataifa

    ReplyDelete
  8. Wema kalewa na umaarufu wa kitongoji.,urembo ma akili vinaendana kakalia kuongeza mitako ss imelegea km utumbo eti ndo anakumbuka gym hahahaaaa!! Ataishua kua kiburudisho acha wanaojitambua wafanye mambo.GO VANESA GO GOOOO

    ReplyDelete
  9. Admin umetumwa si bure.Hukuona wengine hadi umlinganishe na wema? Vanesa hawez kuwa km wema kamwe, alafu utofautishaji wako hauna mantiki kabisa.

    ReplyDelete
  10. amemfannisha sbb watu wasio na mtazamo wanahisi she is a star kumbe naye analevo zake ajafika u star sbb ayupo ki internation yupo kibongo bongo zaidi vanessa upo juu mama

    ReplyDelete
  11. vanessa na wema ni vi2 viwili tofauti, bora ht ungempambanisha vanessa vs shaa

    ReplyDelete
  12. Tisha sana Vanesa

    ReplyDelete
  13. HUO MUONEKANO UMEUONA WEWE BLOGGER MI NAONA DRAAAAAAAAAMA TU,HANA LOLOTE HATA MIE NAMZIDI SEMA TU BDO HAMJANIJUA UDAKU MNGEKOMA NA MIMI

    ReplyDelete
  14. swali?wema lile tako ni lake au katengeneza ?au alikunywa dawa?mbona zamani akuwa vile..iam curious...

    ReplyDelete
  15. Wema ana mvuto wa peke yake huo ni ukweli usiopingika

    ReplyDelete
  16. We apo kinasumbua umalaya tu wema anavutia Sehemu gani?

    ReplyDelete
  17. Huwez mfananisha wema n vanesa. kwanza wapo industry tofauti. unaweza ukawa famous international ila kwenu hujulikani. hyo inaenda kwa vanesa. wema anajulkana TZ nzima ata nchi jirani. kinachofanya vanesa ajulkane inta ni mtangazaji n muimbaji anaweza zunguka nchi tofaut. wema she z a star n she z acting lyk a star.

    ReplyDelete
  18. wema ana umalaya gan?? wivu 2 n roho mbaya. khs shape wema alkua nayo tangu alvyokua slim. mnadiss huku mnakubal kiaina

    ReplyDelete
  19. wema anachukiwa jamani,mtu ukimuuliza unamchukia kwa sababu gani,atakwambia basi tu simpendi,binadamu tufanye yetu,haya mambo ya kumchukia mtoto wa mtu bila sababu,unapoteza muda wako,na kujipunguzia baraka kwa mungu kisa chuki,msitake kulazimisha tui,liwe maziwa,umaarufu uanze nyumbani kwanza,alafu huko kwengine unafuata baadaye

    ReplyDelete
  20. Wema vumbi tu kwa Vanessa

    ReplyDelete
  21. Kuhusu tako,Wema kanunua kwa Martha ndo maana ka-Wema saiv kamefutuka (ushahindi ninao,tena ukitaka hata ulothibitishwa Mahakamani)..........

    ReplyDelete
  22. mdau nimekubali..lile tako mi bado sijalielewa..nahisi fake kama la nicki minaji...mbona alivyokuwa na kitako klidogo alikuwa mzuri zaidi..mh hebu lete ushahidi..ila wema she is hot..vanesa bitch!

    ReplyDelete
  23. Vanessa yupo levo za kina Kelly Rowland wema anasubiri shahawa za dangote ndo aishi Ana kazi gani yakumfanya aishi,zaidi ya kutegemea kei yake mafii ya kenge mfyuuuuuuuuu hana jipya kwa sasa

    ReplyDelete
  24. kama vanessa anafanya level ya kimataifa bongo anafanya nini si angebaki nje alijua hana uwezo wa kuimba nje thats why anatafuta kick huko instagram mara apige picha na akina rick ross mara jay z angekua na kipaji si wangekiona wamsaidie nyie bata kweli nyie eti vanessa kwa kipi kwanza tuzo yenyewe kapata sababu ya promo kutoka kwa wema otherwise analialia tu shaa ndo anapiga mziki ...mimi nashanya kutangaz mtv ndo nn angejua kutangaza si angeomba kazi 106 and park atangaze mtv so wats the phuck is mtv to be a presenter? wema is a star huyo vanessa asubiri sana maana nyota hana ya kupendwa wala ya kuimba atajutraaaaaaaaaaa muache ushabiki maandazi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad