HAYAWI…hayawi sasa yamekuwa! Habari ya mjini ni maandalizi kabambe ya harusi ya staa wa Bongo Fleva na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anayewakilisha Vijana Mkoa wa Geita, Vicky Pascal Kamata ikidaiwa kuwa shughuli hiyo itatafuna kiasi cha Sh. milioni 96
Habari kutoka kwa chanzo cha ndani zilisema kuwa Vicky anatarajia kufunga pingu za maisha Mei 24, mwaka huu na mchumba wake wa muda mrefu ambaye Ijumaa limemnasa aliyejulikana kwa jina la Charles Pai.
Ilidaiwa kwamba mwanaume huyo ni kigogo ndani ya kampuni moja ya huduma za simu hapa nchini.
All the best
ReplyDeleteaigawa nyapu vya kutosha ngoja aikabiz to rest
ReplyDeleteOlewa bana umri nao umeenda,utakuwa dayworker mpaka lini?
ReplyDeletembalikiwe
ReplyDeleteall the best dada etu
ReplyDeleteinapendeza Kagawa nyapu weeeeee sasa kaamua kuipeleka kwa hubby naatulie mana uzuri unaishaga.kila la kheri
ReplyDeleteBut ni mume wa mtu huyu mwanaume
ReplyDeleteILA mwanaume dizaini zawale wakwepa majukumu.sijui ngoja tuone wale wapenda wanawake tayari katika maisha.wapenda slope
ReplyDeleteSiku ya harusi MC asisahau kutusimamisha kwa dakika moja kumkumbuka Mohammed Mpakanjia.
ReplyDeleteUmejuaje mirtchell.the baba ndo alivyo ana mke belive me na vick akae chonjo no ndoa hapo sijui kakurupuka nn ni aibu sana
ReplyDeleteHarusi yote kagharamia demu yaani jamaa kaolewa na hamuogopi bwana mzee amuulize babu seya
ReplyDeleteLo kumbe hisiazangu ni sawa anonymous mama nimemcheki nikaona hapa nimajangaa.ahh isije ikawa ndoa yacku chache tu.
ReplyDeleteTeh teh teh hivi kwani msitu wa mabwepande ulishafekwa wote?!! Huyu jamaa namuonea huruma sana kwa kutaka kula sahani moja na muzeya.
ReplyDeletehongera yake ila ndoa si movie naingie haingie aone uchungu wa kuchukuliwa mume
ReplyDeletemaana huyu bi dada mwee hakuawa mchoyo kwa kweli ila huyu mwanaume kweli hana mke au
ReplyDeleteJamani tuache wivu,majungu hapa duniani hakuna asiye na madhaifu yake wote mmayemsema Vicky hizo ni past zake haziusiani na Future yake Muda wake wa kuolewa umefika ndio maana anaolewa wenzetu Wazungu wanasema Right time for Right person sio kuolewa tu kwa sababu unataka kuonyesha watu umeolewa..God be with You Vicky...
ReplyDelete