Henry Kilewo:Sheikh Ponda Katibu wa UAMSHO Aachiliwe Huru na Mashtaka Yake Yote Yafutwe

Henry Kilewo Amefunguka Kuhusu Sheikh Ponda kwenye Ukurasa wake wa Facebook , Soma Hapa chini alichosema:

"Kama William Lukuvi,Janeth Mbene na Martha (Mkuu wa Wilaya ya Kiteto) bado wapo madarakani kuitumikia serikali inayojitangaza kulinda amani ya nchi basi Sheikh Ponda katibu wa UAMSHO aachiliwe huru na Mashtaka yake yote yafutwe.
Haiwezekani wabaguzi na wachochezi wa siasa za Udini na Ukabila kama hawa wawe madarakani achilia mbali kuwa huru huku Sheikh Issa Ponda akikandamizwa na kufunguliwa mashtaka ya uchochezi
Lukuvi alituhumiwa kufanya uchochezi Kanisani na kisha Bungeni hali kadhalika Janeth Mbene.Hawa nao ni Mawaziri.Anayefanya uchochezi Msikitini,kanisani au Hekaluni na kuhatarisha amani ya nchi kwa maslahi ya kisiasa na ya kidini wote wapimiwe kipimo kimoja bila kujali vyeo au hadhi.Tuwe wapenda haki.Tusiogope kusema ukweli.
Serikali imefanya uchochezi kwa kuwaacha watu hawa Huru huku Sheikh Issa Ponda akinyimwa uhuru.Taifa la Double Standard,Serikali inayopalilia unafiki kwa kuendekeza na kuchochea Chuki Miongoni mwa jamii.Hatuwezi kujenga umoja na kusonga mbele kwa tabia hizi na matendo haya yenye sura mbaya isiyotakiwa katika karne hii ya watu waliostaarabika
The Double Standard Policies of the claimants of Human Rights,Freedom of Worship,Freedom of Expression are further becoming exposed every passing day.
Ni jambo la ajabu kuwa kuna vijana wa CCM wametumika kwenda kumsanifu mama Maria Nyerere na kumlisha maneno ili kuficha aibu ya kauli za kibaguzi za akina Lukuvi
Mama Maria Nyerere aliwaambia ukweli kuwa watawala hawasikilizi wananchi na kisha kuonya kuwa Taifa litaingia kwenye machafuko
Alinukuliwa akilalamika pia kuwa kuna watu wanamchagulia hadi magazeti ya Kusoma? Jamani hiki si kinyume kabisa cha Tangazo la Kimataifa la Haki za Binadamu na kinyume kabisa na Sheria za nchi ambazo zimetungwa kwa mujibu wa Katiba ambayo imetoa haki ya kupata habari na pia uhuru wa maoni? Ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakanyagwa hadi kwa Mjane wa Baba wa Taifa?
Kikundi cha vijana wanaojiita wazalendo wa Chama cha Mapinduzi kilitumwa kwenda kumtumia Mama Maria kwa maslahi ya chama chao na baadhi ya kambi za Urais ndani ya chama
Ni jambo la ajabu vijana hao kutangaza kuwa watazunguka nchi nzima kueleza kuwa Mwalimu Nyerere ametukanwa.
Hawa ni vijana wasaliti kwa taifa na wanafiki wasiojua wanataka nini ndani ya nchi yao
Hawakumbuki historia kuwa kijana Mwenzao Sethi Benjamini alifariki akiwa safarini kwa matembezi ya kuunga mkono Azimio la Arusha lililojenga misingi ya utaifa na kujenga uadilifu kupitia miiko ya uongozi lakini yale aliyoyafia Sethi Benjamini ,yamepuuzwa na kutupiliwa mbali na watawala wenye nia ovu na taifa hili kisha vijana hawa wasaliti wa Sethi Benjamini na Mwalimu Nyerere wanakubali kutumika kuufunika uchafu huu.
Mwalimu Nyerere katika Hotuba zake amekua akikemea ubaguzi wa kidini na kikabila .Lukuvi na wenzake kuendelea kushikilia nyadhifa za serikali ni matusi makubwa kwa Mwalimu Nyerere na pia ni Kejeli kufanya ziara Nyumbani Kwa Mama Maria kabla ya Kushinikiza chama na serikali yao kuwachukulia hatua wabaguzi hawa na pia kufanya shinikizo la kisera ndani ya chama chao kurudia misingi ya Azimio la Arusha ambayo ilikua Kikwazo kwa Mafisadi" Hernry Kilewo
Tags

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kaa kimya wewe pumbavu usitake sifa kama unataka sifa katangaze na mkeo shwaini jambazi mkubwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jambazi amekuibia nini wewe mkundu kunuka?majambazi huwaoni hao walioiba mabilion BOT hao nao utawaitaje kuma wewe usiye na uchungu na nchii msenge kweli kwakuwa baba yako ni mjumbe wa nyumba kumi kumi ndio maana unatetea mafisadi sio?maskin mkubwa wee.

      Delete
  2. Akae kimya nn hutak atoboe cri haki sawa kwa wote co kupendelea henry leo umenifurahisha sana

    ReplyDelete
  3. Akanye alale kiherehere 2 kweli nyie sawa na boko haram vurugu na fujo maisha yenu, ovyoooo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe maskin unaye nuka matatizo wewe na we unatetea mafisadi mkundu wewe nawakati baba yako mwenyewe choka mbaya fundi bomba tu!mitanzania mingine bwana haina kabisa na uchungu na nchi kuma mayo zenu tunaibiwa rasirimal zetu lakin yao yamekumbatia mafisad tu kuma kibuyu.

      Delete
  4. mshenzi sana uyo siasa za sifa izo abatafuta kick wanasiasa bwana akiona jina lake alitajwi anataka tumuongelee n pumba zake za udini shenzi saba uyu

    ReplyDelete
    Replies
    1. we mrundi na wewe unaongea nini kuhusu TZ yetu?

      Delete
  5. anataka kick kwa kupitia mgongo wa shekh ponda khaaa chezea siasa ww

    ReplyDelete
  6. Jamaa kasema kweli,na ni kawaida ukweli hua unauma! Ukweli utabaki kua ukweli tu hata ukisemwa na mtu usiemkubali. Big up kijana.

    ReplyDelete
  7. Chadema + ponda wakiungana hizo fujo sipati Picha!!

    ReplyDelete
  8. wote waliomponda kijana kusema ukweli ni wasege wa ccm,napili hata yesu alipigwa mawe kwakusema ukweli,mtaishia kupewa v elf 10 na kanga,tshet,kofia,wali wanyumbu,nchi inaendeshwa kiuko,leo riz 1 mbunge kesho wazr kesho kutwa raic

    ReplyDelete
  9. Ukwel unauma sana, kwan jamaa c kasema kwel? lol mnalo hlo

    ReplyDelete
  10. Acheni usenge nyny kima wa ccm, hamtaki ukwli eeh pumbavu zenu.dogo kalonga ya kwli hongera henry.mnauza maisha yenu kw flana za rang ya njano mapmbi nyny hiz ni zama za ukwli na uwaz

    ReplyDelete
  11. kwendeni zenu sina usisiemu wala nn sema uyo jamaa anataka kutoka kwa kupitia ponda tena mm sina chama kabisa sema jamaa sijapenda alivyosema so anaona ponda kuwekwa ndani wamemuonea wkt ni sawa so ao watu wake angetafuta jinsi ya kuwadis si kwa kufananisha na kesi ya ponda

    ReplyDelete
  12. C MZIMA WE UNAESEMA PONDA KAEKWA NDAN NI SAWA..UKIULIZWA KOSA LAKE UTATAJA????MATAKO YAKO..UTAKUWA UMEOLEWA NA CCM.

    ReplyDelete
  13. OK saaafiiii saaaaanaaaaaa karribu UDINI Tanzania. Sasa natoka na udini ukanda tumeshindwa Ansante JEPESI

    ReplyDelete
  14. jamani ponda alipewa kifungo cha nje kwamba asijihusishe na mihadhara kwa kipindi fulani kabla kifungo cha nje hakijaisha akatenda kosa

    ReplyDelete
  15. ponda alipewa conditional discharged akavunja amri aliyopewa je mlitaka aachiwe huru tu? kileo hajui hata sheria za nchi kama alitaka kuwazungumzia kina lukuvi asichanganye na issue ya ponda,kwani ponda hakuonewa alivunja amri ya mahakama

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad