Hivi Toka Sugu Amekua Mbunge ni Kitu Gani Alishawahi Kuwafanyia Wasanii wa Taifa Hili?

Msanii wa Leka Dutigite, Linex Sunday Mjeda amefunguka na kudai kuwa hajaona mchango wa mbunge Joseph Mbilinyi aka Sugu kwa wasanii wa muziki.

“Hivi toka Sugu amekua mbunge ni kitu gani alishawahi kuwafanyia wasanii wa Taifa hili, Tanzania na akiwa kama waziri kivuli, amewahi kufanya nini kuinua kipato cha wasanii? Je amejenga mazingira gani kuhakikisha wasanii hawawi ombaomba wakutegemea misaada bali wajasiriamali? Eg. Amefikia wapi kwenye suala la hakimiliki na ufuatiliaji wake etc nimeuliza tu manaake kuna vitu vinaendelea sivielewi,” ameandika Linex kwenye ukurasa wake wa Facebook.
Tags

Post a Comment

25 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwan wasanii ndo waliompa ubunge sugu we vp

    ReplyDelete
  2. Hana lolote anatafuta sifa

    ReplyDelete
  3. sugu mnazi, kaona zito kampiku kuhusu wasanii anaibua vitu asivyo na ushahidi navyo ili mradi tu amuharibie mwenzie haya sasa jibu hilo keshajibu sema lingine usiefikirika na kufikiria roho mbaya tu na hotuba zako kama una imba mtu huna ata nukta wala fungasemi

    ReplyDelete
  4. Hana msaada kwa kweli, hata akikuta yatima ana shida ya ada au hata dawati hatoi.lina roho mbaya sana

    ReplyDelete
  5. uyu wa wapi naye mbunge wetu wa mbeya amekukosea nn unawazs muziki tu kwsn alikwambia akishinda atainua muziki we unafikili mbeya ni acheza dansi tu gombea na ww si kukulupuka na sugu wetu

    ReplyDelete
  6. Hana ajuacho hakumbuki alikotoka hajui aendako huyo sugu bendera fata upepo

    ReplyDelete
  7. subirini kufanyiwa mwenzenu diamond uyo anaendelea eti sugu kawafanyia nini wasanii mwee.

    ReplyDelete
  8. tatizo lenu hamjui alichosema jana sugu bungeni akiwa kama waziri kivuli wa michezo ,vijana na utamaduni ,ndo linex achomaanisha

    ReplyDelete
  9. msikurupukage kukomenti kama hujui yaliyojiri

    ReplyDelete
  10. sugu nae wale wale tu

    ReplyDelete
  11. nawashaur wasanii waombe wawe na muwakilish bungen aliyoyafanya wana mbeya mjini 2nayafaham and we apreciate him by keneth

    ReplyDelete
  12. Kwani anawakilisha wasanii? Au alichaguliwa na wasanii? Sugu ndo amemnominate diamond BET,MTV,AFFRIMMA? Ni juhudi binafsi sio? Kama hawasaidiki je?Na angekazania wasanii,wananchi wake nani awawakilishe?

    ReplyDelete
  13. Sugu hajawahi kuwa waziri atawasaidia vipi wasanii?

    ReplyDelete
  14. watz hamuishiwi lawama, mnafikiri mtaletewa msaada miguun uku mmekodolea macho tv kwa majungu yenu ayo?

    ReplyDelete
  15. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  16. watu wagumu kuelewa hotuba ya sugu yote jana ni kumsema zito na kundi la kigoma all stars dat mafisadi wamekula hela za tanapa na nssf na leo tanapa na nssf wamelitolea ufafanuzi, b4 hujacomment muwe mnajua yaliyojiri c kukurupuka tu

    ReplyDelete
  17. Hana lolote! Km familia yake kashindwa kuhudumia,ataweza wasanii? Mbwembwe 2 ana roho mbaya!!!

    ReplyDelete
  18. roho mbaya inamtesa.zito kamuacha mbali hata ipige kelele vipi hampati.watu wa mbea mjini na nyie elimu chache ndio maana mna muona sugu mungu wenu

    ReplyDelete
  19. Kwani nyie wasanii Uchwara mmetusadia nini sisi wananchi zaidi ya kununua MALAYA na MADAWA YA KULEVYA !

    ReplyDelete
  20. Mlitaka mkae mmebweteka Sugu awaletee maziwa,mkate na asali pumbu zenu,huo ni ufinyu wa mawazo na uvivu wa kufikiri,fanyeni kazi acheni kulalamika. Na huyu Linnex aende zake kule alitegemea Sugu amchukue akaishi nae amfuge km shoga,kwanza Sugu ni mbunge a.k.a rais wa Mbeya sio wa wasanii shwainnn sura mbaya kama uvungu wa mapumbu tokaaaaa

    ReplyDelete
  21. Sugu" Nasari"Kazi kubwa walio nao Ni Kufira MABINTI Wa watu!!! Pumbaf

    ReplyDelete
  22. Ubunge kwa Tanzania ya leo una sura mbili, wenyenacho waingia(kuchaguliwa) au kuingizwa(viti maalumu) bungeni kujiongezea umaarufu na kulinda maslahi yao; wasionacho wanaingia/kuingizwa bungeni kama ajira. Sugu asilaumiwe , atambulike tu kati ya moja ya sura mbili za wabunge nilizozitaja hapo juu, wabunge ni wenzetu wakati wa uchaguzi tu.

    ReplyDelete
  23. Wabunge huwa wanaishaur serkal af serkal inachukua yale mawazo na kufanyia kazi,sugu kila hotuba na michango yake huwa anasema sana kuhusu wasanii hapo inabaki kazi ya serkali kuyafanyia kaz,huyu linex anasema hayo leo kwa kuwa kasemwa mfadhil wake zito,miaka yote alkuwa wapi?msome hotuba zake na michango yake bungen na kama unajua kazi ya mbunge ni nn utaelewa tu,sugu jembe acheni ujinga,

    ReplyDelete
  24. Linex huna akili hata kidogo ulitaka Sugu alete muujiza gani matako ww,umeona Zito msaliti kaguswa ndo povu linakutoka oh Sugu kafanyia nini wasanii mbona humuulizi babaako aliekuzaa kakufanyia nini ambapo hata halo yako ya msingi ya kukupa elim ameshindwa umebaki unabangaiza kweny ubongo wa fleva kukua wewe!pambafff

    ReplyDelete
  25. Sugu anafikiri bunge ni steji ya muziki? anajitia aibu tu. Mheshimiwa mzima unakuwa na wivu na Zitto kaa demu? Tuachieni Zitto wetu. Mheshimiwa wa kuigwa kwa maneno na vitendo. Sio hao wabwabwatukaji nyaambaffff!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad