Husband Material Siku hizi ni Wachache Sana

Habari kamiliiiiiiiii na ya uhakika
kwa masikitiko makubwa sana naona ongezeko kubwa la wanaume ambao wanakosa sifa za kua wame bora ndani ya familia zao kwa sababu ya kutoyatambua majukum yao kama baba wa familia, wengi wa wanaume wana ndoto za kufanikiwa maisha kupitia kazi au mishahara ya wake zao na ikifikia hapa jua wewe haufai kuishi na mwanamke, jitahidini kujipanga , acheni uvivu, vumbua fursa za kiuchumi na uwe na mipango endelevu hapo utakua ni husband material.

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kweli kabisa me kunawanawake wawili ofisini kwetu waume zao ndio tabia yao ya kukaa kusubiri mshahara wa mwanamke ni aibu sana wanaume badilikeni

    ReplyDelete
  2. wanaume badilikeni

    ReplyDelete
  3. kweli kabisa me kunawanawake wawili ofisini kwetu waume zao ndio tabia yao ya kukaa kusubiri mshahara wa mwanamke ni aibu sana wanaume badilikeni

    ReplyDelete
  4. wanaume wengi skuiz wavivu wanapenda starehe ila hawajitumi badiliken

    ReplyDelete
  5. Hayo ni masimango sasa

    ReplyDelete
  6. Sawa kabisa ,ni muda wa wanaume kwenda likizo,mbona wanaume wakiwa wana walisha ,hawalalamiki ,mjifunze kubeba majukumu ya kutunza familia ,hata ikitokea mume wako hayupo watoto na mama wasiwe omba omba kwa muda mrefu wanaume ,hawaja chukua likizo ya kuona kama wake zao wanaweza kusimama kwa miguu yao ,huu ni wakati,kwa sababu kuna wanawake hawajui,hata kodi ya nyumba,au insurance ya gari,au michango ya msiba,a u harusi ina mgharimuje mume wake,wala hawaelewi,ni vema wakajua,badala ya kuwa tegemezi mpaka mzeeni,mlango ukiharibika baba,mtoto akirudishwa shule baba,harusi baba,wewe hela yako ni kuvaa,tu na kujishaua mtaani?

    ReplyDelete
  7. Kwani hata ao wanawake wenye sifa za kuwa wake wapooo...wacheni kutukandikia wkt wanawake wenyewe mapyoroooooo.....

    ReplyDelete
  8. Yanapenda kulelewa masenge haya, mengine hata kazi hayataki, yakishatundika tu yana escape halafu watoto wakifanikwa wa kwanza kulalamika ati watoto hawawajali kende zenu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bila shaka huyu unaemsema ni baba yako mzazi... ivi unasahau hizo kende zake ndizo zilitengeneza mbegu ya kukupata ww??.. Na vp ukajua n msenge? Au mamako kakwambiakakwambia? Dah!! mtoto una lana weye..

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad