Huwezi Kuamini Huyu Ndio Penny Kabla Hajawa Maarufu....Mweee

 Penny Enzi zake Kabla Hajawa Maarufu..Kweli Camera 360 kiboko ...Uwezi amini ni yeye
Tags

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. She was beautiful still...

    ReplyDelete
  2. Penny acha mikorogo, Mbona ulikuwa na rangi nzuri?

    ReplyDelete
  3. Penny mi dadako sana hii ranging ya mwanzo nzury sana naulikuwa mrembo kuliko unavyojiona salsa.

    ReplyDelete
  4. Chezea korogo sasa hv wapenda korogo wana kitu kinaitwa dodoooooooooooooo wiki mbili tu umekua ka nguruwe akiechunwa ngozi kazi mnayo

    ReplyDelete
  5. Sasa hivi yupo HD technology..

    ReplyDelete
  6. Makubwa....!

    ReplyDelete
  7. Laiti wadada wangejua siri ya urembo wetu wangeacha makorokoro yao. Utakuta mdada kajichubua,nywele za bandia,makope ya bandia,kucha bandia yani kama jini. Tujikubali tulivyoumbwa na Mungu, tusikosoe uumbaji wake

    ReplyDelete
  8. dah mkorogo noma!

    ReplyDelete
  9. Alukuwa mzuri

    ReplyDelete
  10. duh duh apana aisee mkorogo ni noma

    ReplyDelete
  11. Jaman alikua mzuri sana so natural ila sasa hivi kama linguruwe vile

    ReplyDelete
  12. halafu huyo nyuma yake sio yule nanino???..............na yeye teyari kapita nini?!! tehe!!!

    ReplyDelete
  13. si mac mogan uyo kabambia

    ReplyDelete
  14. hii kweli gossip court. duuuuuuuuu kumbe watu wanagonga mademu wazuri sana tena sana zaidi ya hao masupastizoooooooo.na wako kimyaaaaa kwi kwi kwi kama wa mkuranga vile!

    ReplyDelete
  15. Haki yake amgande domo....namna hii lazma aone zari la mental kugongwa na dangote....hahaha mweeh sura km kaumwa na nyuki

    ReplyDelete
  16. Hata huyo chibu libayaa pesa tu ndo inamfanya apendwe.

    ReplyDelete
  17. Wana mikorogo.com : maimartha, wema,sintah,batuli,penny,dida mitikisiko,diva,sauda,ray c,johari,Ben kunyaiya, nyoshi,ray kigosu n.k n.k

    ReplyDelete
  18. Kibela we mzuri? Kama unajiona mzuri tia kidole mbele kwako alafu nusa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha ushamba wewe, wanazungumzia uzuri sio harufu.

      Delete
    2. Slsa ushaona wapi kizuri kinanuka!? We mfiraji au mfirwaji silo bure

      Delete
  19. mkorogo.com.tz.mombasa.kambang

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad